greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Kaenda kudanga[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaenda kudanga[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Kama Naibu waziri Mkuu kazinotice na kushauri jinsi ya kukabiliana nazo wewe ni nani ubishane naye?.Watanzania bana,
Walalamishi sana sisi,
Mradi haujaisha Wala mtu Hana details za hizo cracks ni za aina Gani , tayari tushaanza kupiga kelele
ChatoTumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.[emoji120]
Amen.
Kwanini hakuchukua hatua kwenye hilo tatizo? Au ni hiyo hatua ya kulalamika kwenye TV?kuna kipindi waziri kalemani alionekana kwenye tv akimlalamikia mkandarasi kwa kujenga chini ya Kiwango kwa kujenga nguzo chache kwenye ukuta wa bwawa tofauti na inavyotakiwa na kuweka wasimamizi wataalamu wachache .
Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Hivi haya yaliyoandikwa hapa yana ushahidi upi?[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Mada ina ushahidi upi?Mada inashauri uchunguzi ufanyike kubaini tatizo, haisemi nani alaumiwe Kwa nyufa zilizojitokeza.
Hivi hili bandiko hapa lina ushahidi upi? Kuna video clip, audio clip? Au bila bila?Toka lini viongozi wetu wakathamini maslahi ya taifa hili?
Wao wanathamini matumbo yao pekee hata hiyo kamati unayoisema haitafanya lolote zaidi ya kuendeleza kula hela tu
Kesi ya tumbili uipeleke kwa nyani yani hapo ni pipa na mfuniko
Hujui kitu!! Nyamaza na wanao kutag waache mara moja[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Hujui kitu!! Nyamaza na wanao kutag waache mara moja
Hii ndiyo Ile inaitwa Mchawi mpe mwanao akulelee
Mmezungushwa kwenye draft wajanja wamewaingiza kingi Sasa kingi yenu inaenda kuliwa mchezo unakwisha
Naibu Waziri Mkuu ndiyo hivyo Tena kwishnei anaenda kumuumbua Jiwe!!
Inasikitisha inachekesha
Raisi wa Mawe ni mjanja Sanaa
Huyoooooo kilaini 2025
Akili unaWakulaumiwa n I mwendazake, tayaribkylikuwa na dizaini nanilikuwa Wabrazil waanze kulijenga, yeye alivyoingia akabadili mambo kwa kukurupuka na kujimwambafai.
Ni hayo hayo kwa SGR, ilikuwa tayari Wachina waanze kazi.
Lakini kiufundi inarekebIshika vizuro tu, sema gharama na muda wa kumalizika vinaongezeka.
Cheap is expensive.
Pamoja na angalizo hilo la UZALENDO ulilotoa hapa, hiyo "Tume Huru" toka Bungeni itaanza kuota yenyewe kama uyoga?Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
Ikikupendeza kunitwisha heshima ya kuwa 'pessimistic' kwenye maswala ya namna hii, heshima hiyo nitaibeba kwa shangwe nikijua hali duni tuliyonayo kama taifa nyakati hizi.
Ukipenda kunitwisha cheo cha kuwa 'pessimistic' nitakibeba kwa heshima zote kwa kujua hali duni tuliyo nayo ndani ya nchi yetu..
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Nakazia [emoji4][emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Uongo,kipara kawa wazili punde tu baada ya miti kufyekwa, means bwawa kaanza nalo[emoji4]Bwawa limejengwa kabla hajawa Waziri
Team yenyewe ndo wamejazwa kina maarage, mafundi ving'amuz unategemea Nini[emoji848]Halafu sasa ilikuwa ukiwasikiliza Makamba na MD wa TANESCO; sisi tunafanya mambo kisayansi tuna team nzuri ya project management.
Sasa ‘project management’ ya mradi kama huo unatarajia ina organisation strurcture yake amongst its members a ‘designer/quality manager’ wa project. Kwa mradi kama huo team yake walau iwe ni civil engineer na mtaalamu wa fluid mechanics.
Kabla ya mradi kuanza mnakubaliana viwango vya kazi na mkandarasi, yote yanakuwa kwenye mkataba wa ‘project charter’. Jukumu la quality manager na team yake ni kutupia jicho katika kila task as it develops kuhakikisha kazi inafanyika kwa viwango vya makubaliano.
Iweje leo tuambiwe bwawa linanyufa tayari; hao wahusika walikuwa wanashughuli ya kusimamia nini huko. Mind you uwezi compromise quality ya mradi au kufanya diverge from the initial project charter bila ya baraka za client.
Kwa kifupi ni kwamba contractor walikuwa wanauwezo wa kulipua kazi kwa sababu wasimamizi wetu ni tia maji tia maji hawana uelewa wa bench marks za quality ya tasks wanazosimamia. That’s the logical explanation.
Si tungepeleka team yetu hata Ethiopia kupewa elimu ya usimamizi kuliko huu upuuzi unaojitokeza, better still tungemleta tu project manager aliesimamia bwala lao ajekutusaidia kama consultant wa TANESCO.
Hakuna kitu watanzania tunaweza.,
Kusoma mambo na kuiga, hakukupi uelewa mpana unaonafanana na anaeandika hayo. Just get diaspora back kwenye hiyo nchi.
Duh 🙄 !!!Watakaofanya uchunguzi ni sehemu ya watakaotoa maamuzi ya hatua za kuchukuliwa. Maamuzi yatafanyika kuendana na taswira ya chama kuelekea uchaguzi wa 2025. Hakuna maamuzi au hatua za maana zitachukuliwa nje ya utashi wa kisiasa.
Wale wakandarasi hiyo project sio ya kwanza kuijenga wanao ujuzi na hawawezi wakafanya vitu vya kijinga namna ile !!Nawaza tu kama hayo manyufa yameanzia kwenye base? Mmmh!
Mradi haujaisha, haujakabidhiwa. Kugundua dosari na kuanza kutoa maelekezo ni kutafuta sifa. Hata ukikabidhiwa na dosari zikajitokeza huwa kuna muda wa matazamio.Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.