Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

bongo-live

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
1,141
Reaction score
1,294
mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea tunatengana basi tunaweza kugawana mali hivyo nikawa nafanya mambo yangu kimya kimya.

Kila mara alikua akilalamika kufunga ndoa mimi nampiga chenga, lakini siku za karibuni amekua haulizii tena mambo ya ndoa, alikaa kimya kwa meizi sita mpaka na mimi nikaanza kuwa na wasiwasi. Nilianza kuchunguza kwani nilihisi kuwa ana mwanaume mwingine, huwezi amini nimegundua kuwa mke wangu ana mwanaume mwingine, tena mtu mzima ambaye alishaoa na kufiwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja, alikua hajaoa muda mrefu baada ya kufiwa na mke wake.

Baada ya kuona hivyo niliongea na mke wangu akaniambia kuwa hakuna kitu kama hicho, nilimuambia suala la kuoana nikamuambia kuwa sasa hivi mimi niko tayari lakini yeye ndiyo akawa mtu wakunipiga chenga mara nyumbani hawajajiandaa, nymbani hivi na nyumbani vile. Mimi niliamua tu kwenda mwenyewe lakini cha ajabu nimefika huko wakwe zangu wamekataa mimi nisimuoe binti yao, eti wanaseam nimemchezea muda mrefu hivyo wamenirudishia mahari yangu ingawa mimi nimekataa kuzipoke.

Nimemuuliza mke wangu anajifanya hajui kitu,a naniambia lakini kama wazazi wameamua yeye si wakuwapinga. Nimefuatilia kumbe kashampeleka yule mwanaume kwao na kajitambulisha na kutoa mahari. Nilipombana na kumpiga kidogo aliondoka, niliamua kumtishia na kumuambia kama anaondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine basi anaichie wanangu akanijibu hakuja kwangu na mtoto hivyo ni sawa tu nikibaki nao kwani ni wakwangu hata kama nikiamua kuwanyanyasa ni mimi, ananitumia meseji ananiambia tena ni afadhali kwani ingemuwia shida kuanza ndoa mpya na watoto. Tuna watoto watatu na mke wangu kaondoka na kuniachia nao, sijui hata nifanyeje
 
Enheee umejifunza nini hapo wewe kama mwanaume wa hovyo na mbabaifu ambaye umekua single faza rasmi.

giphy.gif

Mallerina , njoo umpe neno.
 
Expert member
Unaita mkwe hujaoaa

Wana moyo kweli kukusikilixa

Sijui kabila gani wachaga miaka 10 hujaoa labda uko na fridge
 
Oya mwanamke anaeondoka mwenyewe kakurahisishia kazi!

Kuna Hawa ambao wao wamo TU Wala hawana mpango wa kuondoka na game wanacheza kimya kimya ukiwauliza wanakataa hao ndio mtiti na watoto wamezaa hao ndio mtiti hata kuwapeleka ustawi huwezi coz huna ushahidi wa wazi!!

Lakini huyo wako kaamua kuondoka mwache aende!ukiona kaamua kwenda mwache aende kuliko haondoki anakufanyia vituko kibao!!!
 
mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea tunatengana basi tunaweza kugawana mali hivyo nikawa nafanya mambo yangu kimya kimya.

Kila mara alikua akilalamika kufunga ndoa mimi nampiga chenga, lakini siku za karibuni amekua haulizii tena mambo ya ndoa, alikaa kimya kwa meizi sita mpaka na mimi nikaanza kuwa na wasiwasi. Nilianza kuchunguza kwani nilihisi kuwa ana mwanaume mwingine, huwezi amini nimegundua kuwa mke wangu ana mwanaume mwingine, tena mtu mzima ambaye alishaoa na kufiwa na mke wake pamoja na mtoto mmoja, alikua hajaoa muda mrefu baada ya kufiwa na mke wake.

Baada ya kuona hivyo niliongea na mke wangu akaniambia kuwa hakuna kitu kama hicho, nilimuambia suala la kuoana nikamuambia kuwa sasa hivi mimi niko tayari lakini yeye ndiyo akawa mtu wakunipiga chenga mara nyumbani hawajajiandaa, nymbani hivi na nyumbani vile. Mimi niliamua tu kwenda mwenyewe lakini cha ajabu nimefika huko wakwe zangu wamekataa mimi nisimuoe binti yao, eti wanaseam nimemchezea muda mrefu hivyo wamenirudishia mahari yangu ingawa mimi nimekataa kuzipoke.

Nimemuuliza mke wangu anajifanya hajui kitu,a naniambia lakini kama wazazi wameamua yeye si wakuwapinga. Nimefuatilia kumbe kashampeleka yule mwanaume kwao na kajitambulisha na kutoa mahari. Nilipombana na kumpiga kidogo aliondoka, niliamua kumtishia na kumuambia kama anaondoka na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine basi anaichie wanangu akanijibu hakuja kwangu na mtoto hivyo ni sawa tu nikibaki nao kwani ni wakwangu hata kama nikiamua kuwanyanyasa ni mimi, ananitumia meseji ananiambia tena ni afadhali kwani ingemuwia shida kuanza ndoa mpya na watoto. Tuna watoto watatu na mke wangu kaondoka na kuniachia nao, sijui hata nifanyeje
Mzinziii
Uko kwenye hioo list mkuu
 
Hakuna kitu kibaya kama kujiona una control halafu upigwe tukio la ghafla. Unaweza kuchanganyikiwa

Hata hivyo mkuu Kama ni kweli, wengine hatuna cha kukushauri maana hatujaona tatizo. Mali uliyotaka kuilinda bado unayo pamoja na watoto, mwanamke kaenda kule anapoona anathaminiwa. Move on tu mkuu
 
Mwanamke akichoka hapo ndiyo mwisho, ukiona kila siku analalamika hicho kitu na anapuuzwa, ukiona kimya hiyo tayari ulishatolewa kwenye mfumo, Simba aliyekamata hapigi kelele 😅😅😅😅.

Zamu yako nawewe katafute single mother huko msaidiane kulea watoto wenu.
 
sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari
Watanzania wengi hawajui sheria zinazohusu ndoa

Kitendo cha kulipa mahari na kujulikana na wazazi wake hiyo ni ndoa ya kimila

Kilichokuwa kimebaki hapo ni kwenda kuisajili ndoa mpewe cheti cha ndoa

Mwanamke alikuwa anataka harusi sio ndoa

By the way shukuru Mungu lijambazi limeondoka ulikuwa unaishi na tapeli
 
Eti ulikuwa unaogopa mkiachana mtagawana mali wakati yeye ni mama wa nyumbani. SELFISHNESS inakukula. Mtu mmezaa, tena unampenda halfu ujifanya kuishi mguu ndani mguu nje. ukomeee
 
Back
Top Bottom