Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
Unaelewa maana ya ukubwa ni jalala?Kwa kifupi namaanisha lea mimba hadi mtoto.
Ova!
Ova!
Haaaaa Haaaaa, halafu nilisahau kuku tag best, namwonea huruma sana ukizingatia binti ni mpole na mzuri sana kwa sura na. Kila mtu alikuwa anamwambia we binti ni mzuri kaa utulie uolewe lakini ndo mambo yamekuwa hivyo🤣🤣🤣🤣Sijui kwanini nachekaga na nyuzi zako🤣🤣🤣maliza kwanza Kilimanjaro tukushauri .
Mwaya kaaa naye tu nadhan haina shida! .Kama unapenda watoto kaa naye
Haaaaa Haaaaa, halafu nilisahau kuku tag best, namwonea huruma sana ukizingatia binti ni mpole na mzuri sana kwa sura na. Kila mtu alikuwa anamwambia we binti ni mzuri kaa utulie uolewe lakini ndo mambo yamekuwa hivyo
Nashukuru Kwa ushauri, na hii hali ya uchumi sijui itakuwajeMpe nafasi ya kumsikiliza ana mpango gani, unaweza panga ya kwako nae kumbe keshapanga yake, otherwise huna haja ya kumtimua maana ulishaamua kuishi nae kama mdogo wako,...
Kweli ndo mana nilimuacha nikijua kabisa ni foolish age ila nilimhimiza sana Swala la kujilinda, Magonjwa na mimbaNi ngumu Sana Sana Kama una mvuto enzi za ujana usipate majang hayo! Sema ishu za kutoa shida yake ukitoa tu jua huna mwez unanasa Tena😏😏
Haaaaa Haaaaa, halafu nilisahau kuku tag best, namwonea huruma sana ukizingatia binti ni mpole na mzuri sana kwa sura na. Kila mtu alikuwa anamwambia we binti ni mzuri kaa utulie uolewe lakini ndo mambo yamekuwa hivyo
Asante kwa mifano halisiKuwa makini sana mamii, niliishi na msichana miaka minne, akabeba mimba nikakubali kuilea na nikamsihi sana aiittoe na aliemoa mimba tulimjua alikua ni dereva ambae tulipenda kumtumia sana hapa nyumbani kwa mambo madogo madogo
Mimbi ilipofika miezi minne yule dereva sijuia alimrubuni kitu gani binti kaenda hospitali kutoa, na huyo dereva alimpeleka kutoa huko uchochoroni bila sisi kujua. Baada y awiki moja yule binti alikua anatoa harufu kama ya ktu kilichooza na alikua ana bleed mabonge bonge
Tukambana sana akasema imma( yani huyo dereva) alimpeleka kutoa mimba Ikabidi tumkimbize hospitali lakini it was too late na kizazi ilibidi kitolewe
Sasa wazazi wake pamoja na wema wote tulioufanya, walitujia juu na maneno ya hapa na ale ikabidi Mr aingilie kati akawaambia waje tuwakabidhi mtoto wao na wakituletea mchezo tutamweka ndani kwa kosa la kutoa mimba
Kuanzia hapo tuliacha kuwa wema kwa mabinti wa kazi especially tunapoona ameanza mienendo ambayo siyo mizuri
Kisa cha pili. Wifi yangu alikubali kumlea dada wa kazi na mimba yake, ilipofika kilipidi cha kujifungua binti akaenda kujifungulia kwao na bahati mbya baada ya kujifungua alifariki
Familia ya kwa binti ilikuja juu ikasema wifi yangu amemtoa kafara mtoto wao yaani ilikua ni varangati, atlist mjomba wa binti alikua mwelewa akajaribu kusimama upande wa wifi mpaka sakata likaisha
Nakushauri tu waeleze wazazi wake na umrudishe kwao hata kwa kumpatia mtaji kidogo wa kuanza maisha
Mnyiramba
Kumpima chai ndiyo kumfanyaje mkuu?Mpime Chai kwanza, ukimkuta hana chai mwache afanye kazi akusanye kahela hadi mimba ifikishe miezi nane ndio aende kwao akajifungue. Tofauti na hapo akiamua kwenda kwa mkulungwa wake mruhusu tu akajionee maisha.