Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Aweke fixed, kama tayari ana nyumba ya kuishi.
Afikirie pia kuchukua gvt bond za BOT return yake ni kubwa zaidi.
UTT vipande ni 12% na kila mwezi anapata cash 1M yake wakati hiyo million 100 ipo intact. Kujenga nyumba ni Upuuzi maana hata siku moja hiyo hela hai rudi. Ukijenga nyumba kila baada ya miaka 5 lazima utumie 20% uliyotumia kuikarabati. Kujenga nyumba ya kupanga ni kujiletea sonona. Ni hayoMama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Kitu hujui acha kupotoshaAjenge nyumba.
Sina mengi ya hayo
Hela ya Mafao ni pesa ya kukutunza wewe Ukiwa huna nguvu. Utumie kidogo kidogo. Siyo pesa ya biashara. asijichanganye. Akijenga nyumba, inaweza hata isiishe.Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Ukisha staafu hata ujitunze viipi mwusho wa siku mali ni kwa ajili ya utakao waacha duniani. Hao wanaomwambia atunze hela ale kidogo kidogo wanamdanganya. Hela haitunziki ili iliwe kidogokidogo. Baada ya miezi 6 tu tutarudi hapa kwenye account zikiwa zimebaki chavhe sana.Kitu hujui acha kupotosha
Ndugu tumefanya wenyewe si kusimliwa na mtu. Bond au UTT. Ndiyo mpango wa maana kwa mstaafu. Mengine uzushiUkisha staafu hata ujitunze viipi mwusho wa siku mali ni kwa ajili ya utakao waacha duniani. Hao wanaomwambia atunze hela ale kidogo kidogo wanamdanganya. Hela haitunziki ili iliwe kidogokidogo. Baada ya miezi 6 tu tutarudi hapa kwenye account zikiwa zimebaki chavhe sana.
Ndugu, wanao, marafiki na matatizo wakijua umetunza hela kila siku wanagonga hodi mlangoni kwako kukushawishi hili na lile na ni ngumu kuwakatalia wote. Unaweza kuwakatalia ndugu ukaangukia kwa wanao. Unawakatalia wanao unaangukia kwenye matatizo
Wote walio jaribu kuweka nenda kavute statement yao uone kama walikaa na hizo hela kwa miaka 2 na zaidi.
Niko hapa
Kila la kheri. Msitaafu anaye staafu leo ndo anaanza kuuliza azifanyie nini hizo hela huoni tayari hapo kuna tatizo? Bila shaka presha ni khbwa miongoni mwa familia yakeNdugu tumefanya wenyewe si kusimliwa na mtu. Bond au UTT. Ndiyo mpango wa maana kwa mstaafu. Mengine uzushi
Huwezi pokea hela ya kustaafu bila kuwa na mpango wowote! After all kuna semina za kustaafu ambazo ndizo zinawasaidia wengi. Mleta mada anatania tu. Siyo uhalisia.Kila la kheri. Msitaafu anaye staafu leo ndo anaanza kuuliza azifanyie nini hizo hela huoni tayari hapo kuna tatizo? Bila shaka presha ni khbwa miongoni mwa familia yake
Mwalimu umesha hitimisha mtoa mada anatania πππHuwezi pokea hela ya kustaafu bila kuwa na mpango wowote! After all kuna semina za kustaafu ambazo ndizo zinawasaidia wengi. Mleta mada anatania tu. Siyo uhalisia.
Tatizo hapa JF wengi wanaleta soga za vijiweni ili muda uende. Ila kwa sie walimu wa jamii, hutumia muda huo kuelimisha jamii ambayo itakuwa na uhitaji. Nyumba za kupanga ni sawa na kuweka hela bank ambapo unachukua taratibu wakati huo bank inachukua tozo. Tumeyaona na kujuta
Hivi akijengaAtumie kama 70m ajenge nyumba za kupangisha zinalipa! Nyingine anaweza kuweka kama akiba.
Huo ni ushauri wangu siyo lazima aufuatee.