Ushauri: Je, ajenge nyumba au aweke pesa fixed deposit CRDB kwa riba ya 7%?

Ushauri: Je, ajenge nyumba au aweke pesa fixed deposit CRDB kwa riba ya 7%?

Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.

Ushauri please
UTT vipande ni 12% na kila mwezi anapata cash 1M yake wakati hiyo million 100 ipo intact. Kujenga nyumba ni Upuuzi maana hata siku moja hiyo hela hai rudi. Ukijenga nyumba kila baada ya miaka 5 lazima utumie 20% uliyotumia kuikarabati. Kujenga nyumba ya kupanga ni kujiletea sonona. Ni hayo
 
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.

Ushauri please
Hela ya Mafao ni pesa ya kukutunza wewe Ukiwa huna nguvu. Utumie kidogo kidogo. Siyo pesa ya biashara. asijichanganye. Akijenga nyumba, inaweza hata isiishe.
 
Kitu hujui acha kupotosha
Ukisha staafu hata ujitunze viipi mwusho wa siku mali ni kwa ajili ya utakao waacha duniani. Hao wanaomwambia atunze hela ale kidogo kidogo wanamdanganya. Hela haitunziki ili iliwe kidogokidogo. Baada ya miezi 6 tu tutarudi hapa kwenye account zikiwa zimebaki chavhe sana.

Ndugu, wanao, marafiki na matatizo wakijua umetunza hela kila siku wanagonga hodi mlangoni kwako kukushawishi hili na lile na ni ngumu kuwakatalia wote. Unaweza kuwakatalia ndugu ukaangukia kwa wanao. Unawakatalia wanao unaangukia kwenye matatizo

Wote walio jaribu kuweka nenda kavute statement yao uone kama walikaa na hizo hela kwa miaka 2 na zaidi.

Niko hapa
 
Ndugu tumefanya wenyewe si kusimliwa na mtu. Bond au UTT. Ndiyo mpango wa maana kwa mstaafu. Mengine uzushi
 
Ndugu tumefanya wenyewe si kusimliwa na mtu. Bond au UTT. Ndiyo mpango wa maana kwa mstaafu. Mengine uzushi
Kila la kheri. Msitaafu anaye staafu leo ndo anaanza kuuliza azifanyie nini hizo hela huoni tayari hapo kuna tatizo? Bila shaka presha ni khbwa miongoni mwa familia yake
 
Jamani inatakiwa tuwe na ma CERTIFIED FINANCIAL ADVISORS wa kutosha kwenye nchi yetu hii pia na watu Wanao dili na magonjwa ambayo ama matatizo yanayoweza kupelekea watu kuugua akili.

Nashauri aweke kwanza fixed angalau two years or five years huku akijipanga na kuhusiana na bond.

Ila hela hiyo angekuwa mtalaamu akavuta Kosta mpya akaweka daladala sipati picha. Na chenji unabakia Mana anaweza nunua Kati ya 56-70M ,sema ishu kubwa Ni usimamizi ndio mchawi na atakufa mapema. Bora tu aweke fixed huko Hakuna risk.
Pia kumbuka Kuna 10% ya withholding tax atakatwa. So net yake Ni 9/10 ya 7% ya ambayo ameweka.
Nyumba aachane nayo itampatia presha bure mama yetu.

Ama akipata mahala pazuri pa loji na hii naishauri Mana hawezi kosa hela ya kula pe dei hata alfu kumi haiwezi mkosa. Akiweka mahala penye Malaya wengi atajuta kuajiriwa maisha yake yote
 
Ama anunue Kosta halafu awape watu huwa Naona Kuna kampuni ambayo unaingia nao mktaba wanakusimamia gari yako na hesabu unaipata Kama kawaida.

Yaani Bora aweke fixed asizeeke kwa presha. Pia wewe kijana usije ukapata tamaa unampelekea maza kifo ama stress ili mgawane hizo hela. Pia cheki maza asije akapata kijana mdogomdogo Kama mme wake hayupo. Ni hayo tu.
 
Kila la kheri. Msitaafu anaye staafu leo ndo anaanza kuuliza azifanyie nini hizo hela huoni tayari hapo kuna tatizo? Bila shaka presha ni khbwa miongoni mwa familia yake
Huwezi pokea hela ya kustaafu bila kuwa na mpango wowote! After all kuna semina za kustaafu ambazo ndizo zinawasaidia wengi. Mleta mada anatania tu. Siyo uhalisia.

Tatizo hapa JF wengi wanaleta soga za vijiweni ili muda uende. Ila kwa sie walimu wa jamii, hutumia muda huo kuelimisha jamii ambayo itakuwa na uhitaji. Nyumba za kupanga ni sawa na kuweka hela bank ambapo unachukua taratibu wakati huo bank inachukua tozo. Tumeyaona na kujuta
 
Mwalimu umesha hitimisha mtoa mada anatania 😄😄😄
 
Atumie kama 70m ajenge nyumba za kupangisha zinalipa! Nyingine anaweza kuweka kama akiba.
Huo ni ushauri wangu siyo lazima aufuatee.
Hivi akijenga
sebule chumba 3m x3m na sebule 4m x 3m , choo ndani 1.3m x 2.3m na jiko lake dogo 1.3m x 3.5m

Budget yake kamoja ni bei gani kwa haraka ili avijenge kama 20 hivi
 
Back
Top Bottom