Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Itategemea ulijengaje na hao wapangaji wako ni watu wa namna ganiUkijenga nyumba kila baada ya miaka 5 lazima utumie 20% uliyotumia kuikarabati. Kujenga nyumba ya kupanga ni kujiletea sonona. Ni hayo
Kwamba yeye hajakutwa na kikokotoo kipya? Maana kapata mafao manono kiasiMama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
nyumba ina faida nyingi kwa sababu thamani yake inaongezeka vizuri.UTT vipande ni 12% na kila mwezi anapata cash 1M yake wakati hiyo million 100 ipo intact. Kujenga nyumba ni Upuuzi maana hata siku moja hiyo hela hai rudi. Ukijenga nyumba kila baada ya miaka 5 lazima utumie 20% uliyotumia kuikarabati. Kujenga nyumba ya kupanga ni kujiletea sonona. Ni hayo
Umenikumbusha jamaa mmoja mjeda alistaafu bado ana nguvu watoto ndio wanaanza sekondari si akanunua fuso mbili. Napoongea hapa hata nyumba ya kuishi kashindwa kumaliza madirisha kaweka maboksi madirishani. Fuso zote aliuza kwa hasaraAjenge nyumba ya kawaida,apangishe,au flem za biashara,chonde chonde,asiingie kwenye biashara ya magsri,mafuso,au bodaboda,mtamzika mapema,
Bi mkubwa wangu,alipata kama ,120M,akanunua fuso,akamuweka kaka yake(anko)asimamie,anko mwenyewe choka mbaya,faida hakuna,kila siku gari bovu,lakini anko halileti nyumbani,mwishowe likauzwa kwa hasara!!
Sasa hv wote ni hoehae,watoto ndio tunabeba mzigo,
Gvt bond za BoT zinaanzia sh ngapi hela ya chini?Aweke fixed, kama tayari ana nyumba ya kuishi.
Afikirie pia kuchukua gvt bond za BOT return yake ni kubwa zaidi.
Acha uwongo mil 100 nyumba isiisheHela ya Mafao ni pesa ya kukutunza wewe Ukiwa huna nguvu. Utumie kidogo kidogo. Siyo pesa ya biashara. asijichanganye. Akijenga nyumba, inaweza hata isiishe.
Ushauri ajenge apangishe.Akifanya tofauti itakuwa shida.Baada ya miaks 5+ atakuwa kafulia hadi shida.Pressure itakuwa mali yake.Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi.
Ushauri please
Sio rahisiAna uzoefu na ujenzi.. ana viwanja kadhaa, ajenge apartments.. piga chumba, sebune, choo jiko.. chumba, choo, n.k.. anakula fedha yake tu.. inawezekana hiyo 100 isiishe na ikabaki chenji ya kufanya mengine.
MmmmhHivi akijenga
sebule chumba 3m x3m na sebule 4m x 3m , choo ndani 1.3m x 2.3m na jiko lake dogo 1.3m x 3.5m
Budget yake kamoja ni bei gani kwa haraka ili avijenge kama 20 hivi
Kigumu nini?Sio rahisi
Maisha hayafanani na sio kila mtu anaweza kufanya biasharaMaisha ya ajira kwel ni utumwa na unyonyaji unafanyaa kazi miaka 40 ufike miaka 60 ndipo upate milion 100.
Wakati watoto wa Kikinga anamiaka 20 anapita airport ana cash milioni 300 anaenda jumua t shirt na jeans China akauze njombe
sio watu wote waloingia ktk Biashara walitoboa... labda hujakutana na waliobuma...Maisha ya ajira kwel ni utumwa na unyonyaji unafanyaa kazi miaka 40 ufike miaka 60 ndipo upate milion 100.
Wakati watoto wa Kikinga anamiaka 20 anapita airport ana cash milioni 300 anaenda jumua t shirt na jeans China akauze njombe
Ndo maana wanamshaufi aweke fixed ili ale taratibu faida huku mpunga ukiwa intact. Akifa vijana wanarithi fwedha.Ukisha staafu hata ujitunze viipi mwusho wa siku mali ni kwa ajili ya utakao waacha duniani. Hao wanaomwambia atunze hela ale kidogo kidogo wanamdanganya. Hela haitunziki ili iliwe kidogokidogo. Baada ya miezi 6 tu tutarudi hapa kwenye account zikiwa zimebaki chavhe sana.
Ndugu, wanao, marafiki na matatizo wakijua umetunza hela kila siku wanagonga hodi mlangoni kwako kukushawishi hili na lile na ni ngumu kuwakatalia wote. Unaweza kuwakatalia ndugu ukaangukia kwa wanao. Unawakatalia wanao unaangukia kwenye matatizo
Wote walio jaribu kuweka nenda kavute statement yao uone kama walikaa na hizo hela kwa miaka 2 na zaidi.
Niko hapa