muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
Umejibu vema!!!!!Unapata namba A,B, na C mwenye shida
Sawa, mkuu, asante kwa mchango wako, sasa namna yakumpata ndio shida.Unapata namba A,B, na C mwenye shida
Kweli mkuu,.Ata 5M unapata tena chini ya 100,000km.....
ntakucheki tupeaane means,tuyajenge.Kwa mtandaoni ninavyoona ni Unapata bila shaka.
Kwa uzoefu wa kua mtu kati one time IST utapata namba C
nashukuru Sana ndugu kwa ushauri, naona kunaumuhimu nipigane nijazie hapo maana kunamtu kaniambia ipo ya m4 sasa inachanganya, nasisi wamikoani tumelizwa sana hapo mjini.Utapata ila kuwa makini sana mi walishaniingiza mkenge kununua gari iliyotumika hapa bongo! Kwa ushaur wangu ungeongeza walau 8 unaweza kupata gar kwa mtu anayetaka kuuza ili abadili gari ya thaman zaid mfano anauza IST ananunua rush otherwise utasukumiwa mkwete kama hautokuwa makan
Lastly advise kwanin usijichange hata miez au mwaka uagize gar ambayo haitokusumbua
Mi nataka noah kwa hela iyo je nami naweza pataUnapata namba A,B, na C mwenye shida
Mkuu hebu toa details za kutosha za hii gariNunua hii Honda ipo bandarini kwa 5.5m tuView attachment 829685View attachment 829687