USHAURI: Je, naweza kupata gari kwa shilingi milioni 6?

USHAURI: Je, naweza kupata gari kwa shilingi milioni 6?

muokotamatunda

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
1,614
Reaction score
1,202
Ndugu zangu nawasalimu humu,

Kama mada inavyojieleza hapo juu, ni kweli kiasi cha hiyo pesa naweza pata ka ndiga ka kuzugia au nijazie kidogo? Aina ya gari ni Toyota Run x, Allex, IST, Raum au Spacio.

Asanteni ndugu zangu, kikubwa naomba msaada wa mawazo na uzoefu wenu.
 
Utapata ila kuwa makini sana mi walishaniingiza mkenge kununua gari iliyotumika hapa bongo! Kwa ushaur wangu ungeongeza walau 8 unaweza kupata gar kwa mtu anayetaka kuuza ili abadili gari ya thaman zaid mfano anauza IST ananunua rush otherwise utasukumiwa mkwete kama hautokuwa makan
Lastly advise kwanin usijichange hata miez au mwaka uagize gar ambayo haitokusumbua
 
nashukuru Sana ndugu kwa ushauri, naona kunaumuhimu nipigane nijazie hapo maana kunamtu kaniambia ipo ya m4 sasa inachanganya, nasisi wamikoani tumelizwa sana hapo mjini.
 
Nunua hii Honda ipo bandarini kwa 5.5m tu
IMG-20180728-WA0017.jpg
IMG-20180728-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom