Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Ungeleta wazo lako kabla ya kujenga,nyie mlikua wa 2 ila hapa tupo million,ungepata uchambuzi mzuri,ila sasa omba tu lisitokee lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningeshare picha lkn sitaki exposureFundi maiko huyo ni taka taka..sasa kwenye ukajenge juu ya shimo la choo...ule mvule umeweka bomba kwa namna gan.
Unge share picha ingekua rahis zaid
Haya mkienda kukata gogo Vaa helmetJiko lipo sehem salama mkuu, juu ya shimo kuna vyoo viwili na kufatiwa na store
Shimo linapumua kwenye matundu sita jamaa anaziba pa kupumulia hakunaUimara unategemea kuta za hilo shimo la choo na slab umetumia material gani.
Shule za umma miaka ya nyuma vyoo vilikuwa vinakuwa juu ya karo lenyewe hata matundu sita na hakuna shida pamoja na idadi kubwa ya wanafunzi.
Mm Ni afsa mipango mji nielekeze nije kwako kuona ujenzi mnk naona unafunja sheria za mipango miji na Kisha kuja hapa kuomba uhaliali wa kufunja sheriaKama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba shimo la choo.
Nilivyopata vihela kidogo nikashawishika kuzunguusha fence, sasa baada ya kumaliza fence nikaona ile nafasi ya nyuma ya nyumba ni kubwa kiasi na nnaweza kujenga store na vyoo viwili na jiko la nje la kishkaji nikafanya ivo.
Tukashauriana na fundi kuwa tutumie ukuta wa fensi kuamsha vile vyumba na tufunike shimo la choo kwa zege ili ile sehem ndo tuitumie kujenga vyoo na upande mwingine uwe kwa ajili ya jiko na store na tukafanya ivo.
Sasa hofu yangu ni kuwa lile shimo haliwezi kuleta shida baadae likaporomoka au msuguano wa joto likaripuka na kuleta madhara, je njia sahihi ni ipi au nisiwe na wasiwasi halitaleta shida ushauri wenu wanajenzi.
Kama ulizingatia kanuni sahihi za ujenzi ikiwemo kusuka nondo vyema simenti ya kwenda, hapo haina kipengele kabisa jiachie kwa amani kabisa cha msingi kuwe na uwazi mahali wa kutoa gesi na joto ndani ya shimoKama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba shimo la choo.
Nilivyopata vihela kidogo nikashawishika kuzunguusha fence, sasa baada ya kumaliza fence nikaona ile nafasi ya nyuma ya nyumba ni kubwa kiasi na nnaweza kujenga store na vyoo viwili na jiko la nje la kishkaji nikafanya ivo.
Tukashauriana na fundi kuwa tutumie ukuta wa fensi kuamsha vile vyumba na tufunike shimo la choo kwa zege ili ile sehem ndo tuitumie kujenga vyoo na upande mwingine uwe kwa ajili ya jiko na store na tukafanya ivo.
Sasa hofu yangu ni kuwa lile shimo haliwezi kuleta shida baadae likaporomoka au msuguano wa joto likaripuka na kuleta madhara, je njia sahihi ni ipi au nisiwe na wasiwasi halitaleta shida ushauri wenu wanajenzi.
Katesh imekutisha unahisi kila kitu kinalipukaKama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba shimo la choo.
Nilivyopata vihela kidogo nikashawishika kuzunguusha fence, sasa baada ya kumaliza fence nikaona ile nafasi ya nyuma ya nyumba ni kubwa kiasi na nnaweza kujenga store na vyoo viwili na jiko la nje la kishkaji nikafanya ivo.
Tukashauriana na fundi kuwa tutumie ukuta wa fensi kuamsha vile vyumba na tufunike shimo la choo kwa zege ili ile sehem ndo tuitumie kujenga vyoo na upande mwingine uwe kwa ajili ya jiko na store na tukafanya ivo.
Sasa hofu yangu ni kuwa lile shimo haliwezi kuleta shida baadae likaporomoka au msuguano wa joto likaripuka na kuleta madhara, je njia sahihi ni ipi au nisiwe na wasiwasi halitaleta shida ushauri wenu wanajenzi.
Ukimwi hauna dawaSawa mkuu kama kuna namna ya kuchukua tahadhali kuzuia madhara yoyote nishauri nijikinge japokuwa nishajenga
Siku hizi bomba la "kupumlia" linawekwa kwenye chamber tu halafu linabanwa ukutani hapo siyo juu ya shimo.Shimo linapumua kwenye matundu sita jamaa anaziba pa kupumulia hakuna
Kuwezekana inawezekana mkuu nilichofurahia mm mtu akiingia kwangu hawezi elewa shimo la choo na la kisima liko wapi anaona mifumo flani tuMkuu, mm pia ninalo wazo hilo. Ila mm shimo lilikuwa la (6×6)fts upana na urefu.. kina kina 35fts..ila kipindi naanza kulijengelea,, nilitumia mawe kuanzia chini kuwa kuyapanga then kila baada ya mita 1 nikawa naweka kama renta..nikajanalo mpk juu then nikaweka zege juu.. so nadhani inawezekana tu kujengea juu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Kuwezekana inawezekana mkuu nilichofurahia mm mtu akiingia kwangu hawezi elewa shimo la choo na la kisima liko wapi anaona mifumo flani tu
Tafuta hela simbilisi weweKama heading inavyojieleza, nilinunua kiplot kidogo ivi nikajenga kajumba ka vyumba vitatu mbele kuna kanafasi ka parking ya gari ndogo na nyuma kukabaki nafasi ndogo ambayo nikatumia kuchimba shimo la choo.