GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
Hili liko pale Bandarini?Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiriaupya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
View attachment 3568613
Lengo lake ilikuwa kwa ajili ya nini?Architect wa jengo hilo ni mpolo,aliisha tangulia mbele na jengo alilobuni ni White elephant kwa miaka mingi sana. Sidhani kama linatumika. 🤔
Usijeshangaa JK akataka abinafsishwe yeye! Hawa watu sijui hawaridhiki? Nilishangaa kuna kipindi nilienda Mbozi ndani ndani huko kwa kina Lucas Mwashambwa nikakuta mashamba ya mahindi maelfu ya maeka naambiwa ni ya JK,nilichoka! Hawa watu wanataka wale mpaka wanyeHiyo Hotel nani abinafsishiwe? Abdul au Angela kizinga?
Kichwa cha habari changu kimekaa kimkakati pia Mkubwa, kinastua kdg, ila haya yote yanawezekana kama yakipimwa na kuonekana yana manufaa, na maslahi mapana ya kwa Taifa hiliKichwa cha habari kimekaa kifala sana.
Anyway, naunga mkono mada.
🤝Kichwa cha habari changu kimekaa kimkakati pia Mkubwa, kinastua kdg, ila haya yote yanawezekana kama yakipimwa na kuonekana yana manufaa, na maslahi mapana ya kwa Taifa hili
Ningetamani, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda ,Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, Ofisi ya Waziri Mkuu, PPPC pamoja na Mkurugenzi na Menejimenti ya NSSF waione hii
Linaungua moto kwa vipi? 😀Yaan hio heading ilivyokaa nikajua linaungua moto kudadek
Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR StationLinaungua moto kwa vipi? 😀
Maneno ni subjective thats why fall in love with numbers, sema moderator ashafanya yake. Stick kwenye wazo.Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station
Soma vizuri hio heading kwa kutulia soma km mara 4 au 5 hivi halafu akili yako itakua inakuambia kitu
Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station (limefanyaje?) limeungua MOTO jioni hii ya leo majira ya saa 12 JioniManeno ni subjective thats why fall in love with numbers, sema moderator ashafanya yake. Stick kwenye wazo.
kwanini isiwe jengo la NSSF water front linalotazamana na Magufuli SGR station limepata mwekezaji mpya au ni jengo bora zaidi,sasa mkuu umewaza moto tu🤣🤣Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station
Soma vizuri hio heading kwa kutulia soma km mara 4 au 5 hivi halafu akili yako itakua inakuambia kitu
Hapana picha ya haraka haraka ni moto ila hizo picha zingine haziji kabisakwanini isiwe jengo la NSSF water front linalotazamana na Magufuli SGR station limepata mwekezaji mpya au ni jengo bora zaidi,sasa mkuu umewaza moto tu🤣🤣
😁😁Hapana picha ya haraka haraka ni moto ila hizo picha zingine haziji kabisa
Hilo zee amekoseka wa kulifyeka tu! Lina tamaa utafikri litaishi milele!Usijeshangaa JK akataka abinafsishwe yeye! Hawa watu sijui hawaridhiki? Nilishangaa kuna kipindi nilienda Mbozi ndani ndani huko kwa kina Lucas Mwashambwa nikakuta mashamba ya mahindi maelfu ya maeka naambiwa ni ya JK,nilichoka! Hawa watu wanataka wale mpaka wanye