Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa