GANJIBHAAI
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 790
- 2,049
- Thread starter
- #21
Ndio MkuuHili liko pale Bandarini?
Ndio MkuuHili liko pale Bandarini?
Ndo maana nikafikiri namna hii, bora likaendelezwa kwa kubadilishwa matumizi. SGR imelipa uhai eneo hili tena pale hotel inafaa, maana Airport hapo (cabin crew huwa hawapendi kulala mbali), Treni unavuka barabara, bandari, mjini kati, kariakoo, BRT less than 10 mins, masaki….Architect wa jengo hilo ni mpolo,aliisha tangulia mbele na jengo alilobuni ni White elephant kwa miaka mingi sana. Sidhani kama linatumika. 🤔
Limeshakodishwa na wahindi wanafungua hospitalHabari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
Hakuna mtu ndaniArchitect wa jengo hilo ni mpolo,aliisha tangulia mbele na jengo alilobuni ni White elephant kwa miaka mingi sana. Sidhani kama linatumika. 🤔
Aisee basi sawa MkuuLimeshakodishwa na wahindi wanafungua hospital
We can be serious sip kıla wakati tulete negativityHiyo Hotel nani abinafsishiwe? Abdul au Angela kizinga?
Kwa taarifa yako liliwahi kuwa na hotel.Habari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
Uongo sio kitu kizuri.Architect wa jengo hilo ni mpolo,aliisha tangulia mbele na jengo alilobuni ni White elephant kwa miaka mingi sana. Sidhani kama linatumika. 🤔
Na ukarabati unaendelea kwa kasiAisee basi sawa Mkuu
Kipindi cha nyuma,wapangaji wote waliondolewaNa ukarabati unaendelea kwa kasi
Ukifika sasa hivi panatia huzuni mno.. Maana ukarabari wenyewe ni wa kuungaunga mno! Inaelekea wanataka kutumia gharama ndogo sanaKipindi cha nyuma,wapangaji wote waliondolewa
Maana lilikuwa na kashkash
Matatizo ya umeme nk
Kama wanalifanyia marekebisho basi afadhali
Crdb walikuwa na branch kubwa pale pia
Ova
Dah hii inasikitisha sana unampa mtu kumbe na yeye ni dalali aiseeUkifika sasa hivi panatia huzuni mno.. Maana ukarabari wenyewe ni wa kuungaunga mno! Inaelekea wanataka kutumia gharama ndogo sana
Tenda kapewa mhindi unategemea nini hapoDah hii inasikitisha sana unampa mtu kumbe na yeye ni dalali aisee
Yaan hio heading ilivyokaa nikajua linaungua moto kudadek
Mfumo wa umeme wa jengo hilo jau,si ndomana wapangaji wote walikimbiaNa lishawahi kuungua moto miaka hiyo kijana ukiwa unaogelea kwenye viuno vya mdingi...
Miaka hiyo likimilikiwa na NASACO wakala wa BandariNa lishawahi kuungua moto miaka hiyo kijana ukiwa unaogelea kwenye viuno vya mdingi...