Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 13,075
- 11,682
Haujui unalosema. NSSF walikaribisha kampuni za usanifu majengo kushindana katika ubunifu wa hilo jengo. Kampuni ya architecture iliyoshinda kwa kushirikiana na washauri wake walitangaza tenda ya ujenzi ambayo kampuni ya ujenzi ya kichina ndio iliyoshinda na kujenga jengo chini ya usimamizi wa washindi wa mashindano ya ubunifu.Architects ndio wanao design jengo kwa niaba ya kampuni ya ujenzi iliyoshinda tenda. Huyo mpolo alikuwa architect aliye design wakati yuko kwa mkataba hapa nchini, kama ulikuwa huna taarifa basi ... Habari ndio hiyo, take it or leave it. 🤓
Kampuni ya Ujenzi ilipatikana baada ya Architects na washauri wake kukamilisha makabrasha ya ujenzi wa jengo. Huyo Mpolo kama alikuweko, aliajiriwa na Mkandarasi kumsaidia kutafsiri michoro na design aliyotakiwa kufuata. Usiamini sana habari za wakina Fundi Mchundo wa kijiweni. Wanakupoteza.
Amandla...