Nimejaribu kudig hawa ndo waliolijenga jengo hili toka chini kabisa M. A. Kharafi & Sons
Kuna Historia ndefu kumbeMadhumuni ya ujenzi wa jengo hilo ni kuweka hapo Makao Makuu ya National Shipping Agent Co. "NASACO".
Ujenzi wake umekamilika mwishoni mwa miaka ya 80.
Mwishoni mwa miaka ya 90 jengo hilo liliungua(Tuliambiwa wakora walipiga kibiriti kufuta ushahidi)
NASACO imeingia kwenye mfumo wa kuuzwa ili kuiondoa serikali kwenye biashara.
Hivyo jengo hilo liliuzwa kwa NSSF likawa kitega uchumi.
Miaka hiyo makao makuu ya IPP yalikuwa hapo.
Vile lilivyosimama juu ya maji hadi naogopa Sana nikipita hapoHapo kulikuwa na wapangaji wengi.. na wote waliondolewa baada ya kuona Kuna shida kwenye hilo jengo.
Kuna taasisi moja nilikuwa napiga nayo mishe hapo... Jengo linashida upande mmoja hilo.
Vile lilivyosimama juu ya maji hadi naogopa Sana nikipita hapo
Uko sahihi KiongoziUna mawazo mazuri sana.
Muhimu wasisahau kufanya tathmini ya athari kwenye mazingira, uchumi na jamii.
Kingine jengo likodishwe kwa private hotel management firm ili ijiendeshe kwa faida?
Mh. Kafulila alichukue na kulijumuisha kwenye miradi yake ya PPP hapo vipi?Serilikali ya Tanzania imebinafsisha hotel zake jirani na eneo hilo New Africa na Kilimanjaro kwa kile tulicho ambiwa kuwa serikali kujiondoa kwenye biashara na badala yake sekta binafsi itafanya kazi hiyo, hivyo siyo rahisi tena serikali kuruhusu mashirika yake kurudi kwenye uwekezaji wa kibiashara.
Asante Kiongozi.Uko sawa
Sawa kaka, wakati wa refrushment hilo pia lingeangaliwa hakuna kinachoshindikana when it comes to Engineering.Hapo kulikuwa na wapangaji wengi.. na wote waliondolewa baada ya kuona Kuna shida kwenye hilo jengo.
Kuna taasisi moja nilikuwa napiga nayo mishe hapo... Jengo linashida upande mmoja hilo.
Hilo jengo ni moja ya majengo mazuri sana ila linapata sana hasara sababu posta now biashara imepunguaHabari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
Shida itakuwa ni namna ya kuweka vyoo nani ya vyumba vitakavyokuwa vya kulala,ila wazo zuriHabari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
Mkuu mimi naangalia mbali baada ya SGR kufika Congo Kigoma na Mwanza, demand irakuwa kubwa tena ya uhakika + Soko la KariakooHilo jengo ni moja ya majengo mazuri sana ila linapata sana hasara sababu posta now biashara imepungua
Kwa mainjinia sio shida hili jengo inabidi upige chini partition zote uanze upya kutokana na matumizi ya jengo kwa wkt huo husikaShida itakuwa ni namna ya kuweka vyoo nani ya vyumba vitakavyokuwa vya kulala,ila wazo zuri
Kazi nzuri ya Balozi Dau. Mzee aliona mbali sanaHabari Watanzania wenzangu naomba niende moja kwa mojakwenye hoja, nikiwa kama kijana wa kitanzania naomba niishauri serikali yangu kupitia menejimenti ya NSSF kufikiria upya matumizi ya jengo la NSSF Water Front,
Jengo hili ni kati ya majengo bora kabisa kwa muonekano kwamaana ya designing na modernization kinachohitajika niupgrade tu, pasina na ubishi jengo hili kwa sasa liko katika eneoambalo ni hot (Very Very Prime Area) tukianza tu na uwepo waDar Port, SGR (all the way to Congo, Kigoma and Mwanza)dah, City Center, Kariakoo, Julius Nyerere International Airport, Uwanja Mpira wa Benjamin Mkapa na Zanzibar Ferry
Ikiwapendeza tubadilishe matumizi ya jengo hili na kuwa Hotel yenye hadhi ya Nyota 5 hasa wakati huu wa maandalizi yaAFCON 2027
Nikiwa Mtumishi wa Umma nawasilisha wazo hili kwaunyenyekevu mkubwa
Wakati wa uongozi wake yeye ndo alilinunua kutoka NASACO?Kazi nzuri ya Balozi Dau. Mzee aliona mbali sana
Japokuwa mimi sio injinia nisijivike fani ambayo sio yangu 😀Kwa mainjinia sio shida hili jengo inabidi upige chini partition zote uanze upya kutokana na matumizi ya jengo kwa wkt huo husika
Hili wazo kama nimelielewa.Watengeneze iwe layover
Yes ManWakati wa uongozi wake yeye ndo alilinunua kutoka NASACO?
Architects ndio wanao design jengo kwa niaba ya kampuni ya ujenzi iliyoshinda tenda. Huyo mpolo alikuwa architect aliye design wakati yuko kwa mkataba hapa nchini, kama ulikuwa huna taarifa basi ... Habari ndio hiyo, take it or leave it. 🤓Kampuni ya Architecture iliyo design Waterfront House bado ipo na wamiliki wake wako hai. Huyo Mpolo sijui ulimtoa wapi!
Amandla...