USHAURI: Jengo la NSSF Water Front linalotazama na Magufuli SGR Station linafaa kuwa Hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano

Architects ndio wanao design jengo kwa niaba ya kampuni ya ujenzi iliyoshinda tenda. Huyo mpolo alikuwa architect aliye design wakati yuko kwa mkataba hapa nchini, kama ulikuwa huna taarifa basi ... Habari ndio hiyo, take it or leave it. 🤓
Haujui unalosema. NSSF walikaribisha kampuni za usanifu majengo kushindana katika ubunifu wa hilo jengo. Kampuni ya architecture iliyoshinda kwa kushirikiana na washauri wake walitangaza tenda ya ujenzi ambayo kampuni ya ujenzi ya kichina ndio iliyoshinda na kujenga jengo chini ya usimamizi wa washindi wa mashindano ya ubunifu.

Kampuni ya Ujenzi ilipatikana baada ya Architects na washauri wake kukamilisha makabrasha ya ujenzi wa jengo. Huyo Mpolo kama alikuweko, aliajiriwa na Mkandarasi kumsaidia kutafsiri michoro na design aliyotakiwa kufuata. Usiamini sana habari za wakina Fundi Mchundo wa kijiweni. Wanakupoteza.

Amandla...
 
Taja hiyo kampuni ya ujenzi iliyoshinda kisha tuzame taratibu kwenye kundi la maarchitects walioshiriki kuchora mchoro wa hilo jengo uone kama mpolo ninayemzungumzia hakuhusika katika mradi huo wa kifisadi.
 
Taja hiyo kampuni ya ujenzi iliyoshinda kisha tuzame taratibu kwenye kundi la maarchitects walioshiriki kuchora mchoro wa hilo jengo uone kama mpolo ninayemzungumzia hakuhusika katika mradi huo wa kifisadi.
Landplan Icon Architects. Huyo Mpolo amekudanganya. Sasa unasema alishiriki na sio aliye design!

Kwa vile mimi nimekutajia kampuni iliyo design, na wewe nitajie kampuni ya ukandarasi iliyomuajiri Mpolo.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…