Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Nakumbuka miaka ya nyuma, eti nikifeli masomo naingia jeshini au polisi. Wanadai kule akili haitumiki. Sasa twende na wakati ili tuende sawa katika ukanda wa Afrika Mashariki.Hahahahahahaha..
Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole...