yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.
]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.
hizo njia za uzazi wa mpango ni pasua kichwa. ninaye workmate mwanamke alikuwa anatumia hizo njia baada ya kupata mtoto wa kwanza, kilichotokea sasaivi mtoto wake wa kwanza anamaliza darasa la saba ametafuta mtoto wa pili hapatikani. wana mtoto huyohuyo mmoja tu na mzee umri ndio unaenda walioana watu wazima na mama umri pia unaenda wanahaha sasaivi makanisani kuombewa wapate mtoto wa miujiza. mke wangu na mimi tunatumia njia ya asili na inafanya kazi pamoja na kwamba tupo makini kupita maelezo.
sasa mkuu hebu tusaidie hiyo njia ya asili
#nadorim si useme ni wewe ya nini kujificha?
Anyway hii tatizo inaweza ikawa inasabishwa na mambo mengi ikiwamo maradhi au mzunguke wake kutokuwa na mipangilio. Ushauri wangu afanye mapenzi na mume wake siku ya hatari/hedhi bila kujali damu inayotoka japo kuwa kwa mwanaume hiyo damu inamadhara lakini asitie shaka. Lazima atapokea ujauzito kisha baada mwezi ulete mrejesho humu.
njia ya asili ni kalenda mzee. anza kuhesabu kuanzia siku alipobleed, anza ndio iwe siku ya kwanza, ikifika siku ya saba stop hadi siku ya kumi na nane. hapa mwanza hizo siku saba za mwanzo unaweza kufanya bila condom na unaweza kurudiarudia tendo kwa kujojoa tu ndani. ila kati ya siku hizo za hatari ukiona umebanwa sana tumia condom au kama hautumii condom fanya withdrawal ukojoe nje na ndani ya masaa manne usirudie tendo, that means itakuwa umepiga bao moja tu ukiongeza la pili yale mabaki ya mbegu bado yana nguvu yanatia mbimba(kwenye siku hizo hatari). ukifika siku kuanzia ya kumi na nane, piga tu mabao upendayo na kojoa ndani hakuna mimba. zile siku za hatari usifanye, ukifanya fanya kwa ndomu au kama hamna ndomu piga bao moja tu la withdrawal.sasa mkuu hebu tusaidie hiyo njia ya asili