Ushauri: Jinsi ya kuweza kushika mimba

Ushauri: Jinsi ya kuweza kushika mimba

nadorim

Senior Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
158
Reaction score
24
Habari zenu jamani,

Mimi ninarafiki yangu anatafuta mtoto tangu mwaka jana hapati, yeye na mumewe wapo tayari kuzaa ila ndo mimba haishiki. Huko nyuma aliwahi kutumia njia za uzazi wa mpango za vidonge na sindano. Sahivi hatumii njia yoyote lakini hata dalili ya mimba hamna.

Ameniomba ushauri na mimi nawasilisha kwenu wakuu

Thanks
 
Ndugu hebu mshauri aende kwa madaktari wa magonjwa ya wanawake akapate suluhisho.
 
wote wawili wakapime kwanza viungo vya bioloji wajue kama vinaweza kuzaa matunda au la. ila wasiende kwa waganga wakienyeji watazaa mapepo.

yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.
 
Cha msingi aende akafanye check up hospitalini inaweza ikawa suluhisho
 
Kuna daktari amesaidia wanawake wengi wa namna hiyo. Kama uko Dar anapatikana Chanika. Ana clinic inaitwa Tikaya. Nitatafuta namba yake. Usikose kunikumbusha. Mara nyingi hili ji tatizo la imbalance of hormones. Mwingine aliyemsaidia amejifungua jana na amemfanyia operation mwenyewe. Operation ilikuwa ni sababu ya umri na sio wote wanafanyiwa operation.
 
#nadorim si useme ni wewe ya nini kujificha?
Anyway hii tatizo inaweza ikawa inasabishwa na mambo mengi ikiwamo maradhi au mzunguke wake kutokuwa na mipangilio. Ushauri wangu afanye mapenzi na mume wake siku ya hatari/hedhi bila kujali damu inayotoka japo kuwa kwa mwanaume hiyo damu inamadhara lakini asitie shaka. Lazima atapokea ujauzito kisha baada mwezi ulete mrejesho humu.
 
Mume na mke muende hospitali mkapimwe.......

Je mume bado anazalisha mbegu kwa kiwango cha kutosha????? Hakupata maambukizi yaliyoharibu mfumo wake

Mke mirija yake mizima? Anazalisha mayai anaovulate

Hormone levels zao zipoje???
Nk nk nk
 
yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.

kuwa na mtoto si hoja, inabidi waende hospitali kujua tatizo ni nini.
siku hizi wataalamu wa haya mambo ni wengi.
 
nadorim

hizo njia za uzazi wa mpango ni pasua kichwa. ninaye workmate mwanamke alikuwa anatumia hizo njia baada ya kupata mtoto wa kwanza, kilichotokea sasaivi mtoto wake wa kwanza anamaliza darasa la saba ametafuta mtoto wa pili hapatikani. wana mtoto huyohuyo mmoja tu na mzee umri ndio unaenda walioana watu wazima na mama umri pia unaenda wanahaha sasaivi makanisani kuombewa wapate mtoto wa miujiza. mke wangu na mimi tunatumia njia ya asili na inafanya kazi pamoja na kwamba tupo makini kupita maelezo.
 
Last edited by a moderator:
yan mtoto wanae mmoja huyu wanaetafuta n wapili kwahyo so kwamba hawajawah kuzaa.
]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]]
\\\\\\\\\\\\\

|:llama::llama:[]
\
:llama::llama::llama::llama:\
]
'hizo dawa za uzazi wa mpango zina inhibit release of hormones progesterone na oestrogen kama nakumbuka vizuri so

kutokushika mimba inawezekana ni side effect ya hayo madawa , kwasababu progesterone inaanda for menstral cycle

kama hakuna fertilization ndo menstral inatokea , kama hakuna fertilization oestrogen na progesterone hormone ziwe

produced in high level ili kuzuia kuchavusha ovary nyingine , ndo maana mtu akipata mmimba hableed ni sababu ya

hizi hormones kuwa in high levels,. sasa huyo shosti wako hizo dawa zitakuwa zimeathiri hypothalamus kama nakumbuka vizurii, biology yenyewe ya division 5
 
hizo njia za uzazi wa mpango ni pasua kichwa. ninaye workmate mwanamke alikuwa anatumia hizo njia baada ya kupata mtoto wa kwanza, kilichotokea sasaivi mtoto wake wa kwanza anamaliza darasa la saba ametafuta mtoto wa pili hapatikani. wana mtoto huyohuyo mmoja tu na mzee umri ndio unaenda walioana watu wazima na mama umri pia unaenda wanahaha sasaivi makanisani kuombewa wapate mtoto wa miujiza. mke wangu na mimi tunatumia njia ya asili na inafanya kazi pamoja na kwamba tupo makini kupita maelezo.

sasa mkuu hebu tusaidie hiyo njia ya asili
 
shida ni hizo dawa za uzazi wa mpango. aende hospital watapata matibabu
 
#nadorim si useme ni wewe ya nini kujificha?
Anyway hii tatizo inaweza ikawa inasabishwa na mambo mengi ikiwamo maradhi au mzunguke wake kutokuwa na mipangilio. Ushauri wangu afanye mapenzi na mume wake siku ya hatari/hedhi bila kujali damu inayotoka japo kuwa kwa mwanaume hiyo damu inamadhara lakini asitie shaka. Lazima atapokea ujauzito kisha baada mwezi ulete mrejesho humu.

Hapa sijui unaongea biology ya wapi hii?! Au unaongea ushirikina!!
afanye mapenzi siku ya hedhi?!! Serious!!!?

Na aliyesema siku ya hatari ni sawa na hedhi ni nani?!
 
sasa mkuu hebu tusaidie hiyo njia ya asili
njia ya asili ni kalenda mzee. anza kuhesabu kuanzia siku alipobleed, anza ndio iwe siku ya kwanza, ikifika siku ya saba stop hadi siku ya kumi na nane. hapa mwanza hizo siku saba za mwanzo unaweza kufanya bila condom na unaweza kurudiarudia tendo kwa kujojoa tu ndani. ila kati ya siku hizo za hatari ukiona umebanwa sana tumia condom au kama hautumii condom fanya withdrawal ukojoe nje na ndani ya masaa manne usirudie tendo, that means itakuwa umepiga bao moja tu ukiongeza la pili yale mabaki ya mbegu bado yana nguvu yanatia mbimba(kwenye siku hizo hatari). ukifika siku kuanzia ya kumi na nane, piga tu mabao upendayo na kojoa ndani hakuna mimba. zile siku za hatari usifanye, ukifanya fanya kwa ndomu au kama hamna ndomu piga bao moja tu la withdrawal.

tahadhari: withdrawal wengi inawashinda kwasababu wakati mbegu zinakaribia huwa kuna utamu sana na mtu mwingine anachukuliwa control hivyo unaweza kujikuta umekojoa ndani. unachotakiwa kufanya ukiona ziko kwa mbali chomoa halafu malizia kwa mkono manake ukisubiri kuna vile vimbegu vya mwanzo huwa vinatoka bila wewe kujua utatia mbimba.
 
nadorim

Waambie na wengine ni marufuku kutumia njia za uzaz wa mpango kabla ya kuzaa.Wengi nilioona wanatumia ivo vidonge wamepata shida kwenye kuzaa ...na wakati mwingine hawazai kabisa...Ushauri aende kwa Daktari.Nawashauri kulingana na experiance yangu...wadada ambao hamjazaa msitumie hizo dawa...yaan hata baada ya kuzaa msitumie maana mifano hai tunayo kwenye jamii zetu namna watu walivoathirika na hizi dawa...Ni mtazamo wangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Mi nna maelezo mengi mno ila mvivu kuandika. Ila atafute dr wa wanawake OBGyn atamsaidia, au pengine ana ovulate wakati wa period wanasemaga hivyo wengine wakiduu wakati wa period mimba zinaingia! kivipi? sijui amuulize dr wake
 
Back
Top Bottom