Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Kwa Uungwana zaidi mwisho wa maelezo yako ungeomba radhi kwa Waislamu waliopo humu ambao hiyo kitu ni ' haram / mwiko ' Kwao ili wasikwazike na huu uzi wako. Huu Mtandao siyo tu wa Wakristo Mkuu hivyo ' busara ' kubwa mno inahitajika pale unapotaka kuwasilisha jambo ambalo lina sura mbili hasa ya Kimtizamo na ya Kiimani.

Nikutakie tu kila la kheri Mkuu katika Biashara yako hiyo ya Ng'ombe Katoliki / Ngurumwe / Kitimoto / Noah / ARV.
swala la imani na afya ni vitu viwili tofauti
mm muislam bt kitimoto nakula km kawaida
*waislam tusiwe wanafki
 
Kuacha kula kitimoto sio kwamba ni tiket ya pepo,kuna makubwa kulko kitimoto ambayo unapaswa kuyafanya kwanza kabla ya kufikiria kitimoto,,yule mdudu mtamu bhanaaa weee
 
Hi I bussnes tamu sana ukipata goli nzuri mm npo kigo a huk nafuga nkipata namba ya kutisha ntawatafta wanunuz coz nguruwe mkubwa kabisa huku ni 300000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu...mimi ni kijana mjasiriamali mwenye jiko la kupika kitimoto kimara...ninahitaji kupanua biashara yangu, yaani nifungue jiko lingine maeneo ya kimara mpaka mbezi mwisho. Hivyo ninaomba msaada kama una bar au unamfaham mtu mwenye bar eneo lililochangamka na anahitaji mtu wakufungua jiko...please ni pm

Natanguliza shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakushauri jaribu kucheki kwenye hizi grocery zilizopo pembeni mwa moro Road kwani bei zake si kubwa kulinganisha na bar

Mimi niko mbioni kuianza ninapata shida kwenye usafiri kwani kusafirisha nyama ya nguruwe ni kazi mana wamiliki wengi wa usafiri ni waislam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari,
Kwanza kabisa natanguliza samahani kwa yoyote post hii itayemkwaza iwe kwa itikadi yoyote ile au utaratibu wowote ule anaouamini, naomba utambulike kuwa nipo nikatika harakati za kutafuta maisha,
Kama kichwa cha habari apo JUU nilikua napenda kujuzwa kama kunamtu mwenye uzoefu na bihashara ya kukaanga nyama ya kitimoto,
Naamini inafaida sana na natamani kuifanya ivyo nimeona nitafute ushaurii kwa wenye uziefu kabla sijaingia kichwakichwa,(kuuliza sio ujinga)
1.Ningependa kujua yafwatayo:
Je nikiwango gani cha chini cha mtajii MTU anapaswa kuanacho ili keuweza kuanza?
2.je kwa mijini nimaeneo ganiii nimazurii yakufanyia bihashara hii bila kua kwa jamiii
3.mengineyo nilioyasahau
NB: tafadhalii naomba radhi kama kunajambo nitakua nimelikosea kwakujua au kutokujua
Karibuni na asanteni!!!
Wasalaam,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaeza kuanza na kilo saba kwanza...kilo moja ni sh elf 7,kilo saba itakua elf 49
Ndiz za elf 5
unga wa sembe(wanaume wa dar) kilo tatu
Viungo vya elf 10
Mafuta lita tatu


Kodi ya eneo husika
Majiko ya mkaa
Jiko la gas..kwa order za haraka
 
Back
Top Bottom