Askof Mstaafu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 924
- 4,581
Aolewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Got damn right. Malezi ya kizungu yanawazaja watoto viburi.Wakati mwingine demokrasia ikishindwa kufanya kazi basi udikteta lazima utumike
Haijalishi. Kwa hiyo miaka halaf eti ana div 1? Hiyo ni bad influence.Shule kinguvu mtoto aliyemaliza kidato cha nne??? Mkuu sio darasa la saba kusema hajitambui
Hahaaahaaaa mkuu acha utani yaani ni halalishe uzinzi kwa binti yangu mwenyewe, si bora nimuozeshe tu kwa kufuata taratibu mambo ya kusoma wataenda kujuana wenyewe huko....! Ila wasi wasi wangu ni je sitopata usumbufu kwa kuruhusu binti aliyefaulu kidato cha nne kuolewa?Hapo ongea nao kikubwa wote wawili bint na huyo bwana wake. Wajaze ujinga waambie mapenz yao uwezi yaingilia cha msingi mtafutie bint day school iliyo karibu na bwana wake ili wawe wanatiana huku bint anasoma......
Cha kuwasisitiza zaidi watumie kalenda vizuri ili kujikinga na mimba.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Mkuu mimi ndio baba yakewewe ni single mother?... sijajua baba ake anasemaje kuhusu hili
Hayo mimi hayanihusu tena akishaolewa, ila wasi wasi wangu nikupata usumbufu toka kwenye vyombo vya sheria kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewaKuolewa sio dhambi,mshauri mwanao aendelee na shule baada ya ndoa huku ukimwambia huyo mkweo mtarajiwa amshawishi mwanao asome baada ya ndoa
Duh sorry my broo mitazamo imetofautianaHahaaahaaaa mkuu acha utani yaani ni halalishe uzinzi kwa binti yangu mwenyewe, si bora nimuozeshe tu kwa kufuata taratibu mambo ya kusoma wataenda kujuana wenyewe huko....! Ila wasi wasi wangu ni je sitopata usumbufu kwa kuruhusu binti aliyefaulu kidato cha nne kuolewa?
Utapata matatizo mkuu. Acha kabisa hilo wazo asee!Hayo mimi hayanihusu tena akishaolewa, ila wasi wasi wangu nikupata usumbufu toka kwenye vyombo vya sheria kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa
Mkuu huyo dogo atachaguliwa na kuonekana ameozesha mtu mwenye status ya uanafunzi. Akitaka kuhalalisha, ampeleke vyuo vya kati, apate registration aanze chuo then amuoe kama mwanafunzi wa chuo, otherwise haitakua fresh kiserikali!una wakati mgumu kama mzazi pole sana kwa mtihani. kuhusu serikali sidhani kama wanasumbuka na mtu aliyemaliza kidato cha nne akaamua kufuata mlengo mwingine wa maisha. miaka 18 kisheria ni mtu mzima. mshauri yeye pamoja na kijana kwamba aendelee kusoma hata ikibidi kuanza chuo certificate itamsaidia huko mbeleni.
kuna kitu hakiko sawa kwako sidhani kama wewe ni mzaziMwanaume ana 28, na anajihusisha na biashara. Kuhusu kumtunza sina shaka naye hilo ataliweza vyema..! Ila wasi wasi ni serikali hawawezi kuleta shida kwa kuruhusu binti aliyefaulu kuolewa?