Pole sana mkuu, kweli kua mzazi kuna mambo mengi....
Nakushauri yafuta mda, mchukue binti yako muende eneo mbali kabisa...
Kama unaishi Dat, nenda na binti yako hata bagamoyo mkiwa wawili tu.
Ingia hotel nzuri yenye bichi nzuri, kaa nae huku mkila chakula kizuri...
Ongea nae kama mzazi, mwambie huna shida ya yeye kuolewa. Amalize angalau form 6 ndipo utakua na aman kwa yeye kuingia kwenye ndoa.
Ongea kwa utulivu kama mzazj, mpe muda wa kufikiria.
Asipo elewa mbariki, ila utahitaji kukaa na huyo kijana...
Pole mkuu