Ushauri: Kafaulu lakini anataka kuolewa

Shukrani kwa ushauri mkuu ...! Huu ndio ushauri niliokua nahitaji
 
Sikiliza mruhusu aolewe ila aendelee na shule jua tu Magufuli kaisha kufa ndo alikuwa anawakomalia Sasa hiv ni mwendo wa mdebwedo huyo dogo alishatiwa kitambo anaweza endelea soma uku anakalia mpini
Tumieni lugha zenye staha kumbukeni aliyeomba ushauri ni mzazi
 
Mh aisee try your best kuwaconvice wote wawili huyo mwanao aende shule. Huyo mtoto bado hajayajua maisha, anaweza kuja kukulaumu baadaye.

Pia mtishie kwamba yeye asipoenda shule na kwenda kuolewa basi wewe utafungwa.so unamuomba aende shule kwa miaka 2 tu then ataolewa vizuri kabisa. Ila usionyeshe unamkatalia kuolewa, uwe Kama unamuomba hivi na Kama umemkubalia kuolewa na huyo huyo jamaa.

ILA BE CAREFUL, WATOTO WA KIKE WAPO KARIBU SANA KUNYWA SUMU WANAPOKATALIWA KUOLEWA

anyway pole Sana kwa tatizo hili.
 
Hapo mwache afanye yote, aoelewe wakati anafaidi dudu huku asome diploma, ambapo hawakatazi kuolewa

Ukimaliza form four serikali ushaagana nayo, ndio maana unaweza kuamua kwenda Advance au college
 
Mkuu huyo dogo atachaguliwa na muonekana ameozesha mtu mwenye status ya uanafunzi. Akitaka kuhalalisha, ampeleke vyuo vya kati, apate registration aanze chuo then amuoe kama mwanafunzi wa chuo, otherwise haitakua fresh kiserikali!
Very good plan, vyuo vya Kati[emoji106][emoji106]
 
Hapo mwache afanye yote, aoelewe wakati anafaidi dudu huku asome diploma, ambapo hawakatazi kuolewa

Ukimaliza form four serikali ushaagana nayo, ndio maana unaweza kuamua kwenda Advance au college
Ahsante kwa mchango wako
 
Kuwa na msimamo mkali sana kwanza alivyoanza kuongea ungemtia kibao cha uso kumweka sawa pili ungemtimua ako kabwana kake
 
Pole sana mkuu, kweli kua mzazi kuna mambo mengi....

Nakushauri yafuta mda, mchukue binti yako muende eneo mbali kabisa...
Kama unaishi Dat, nenda na binti yako hata bagamoyo mkiwa wawili tu.

Ingia hotel nzuri yenye bichi nzuri, kaa nae huku mkila chakula kizuri...

Ongea nae kama mzazi, mwambie huna shida ya yeye kuolewa. Amalize angalau form 6 ndipo utakua na aman kwa yeye kuingia kwenye ndoa.

Ongea kwa utulivu kama mzazj, mpe muda wa kufikiria.

Asipo elewa mbariki, ila utahitaji kukaa na huyo kijana...

Pole mkuu
 
Aisee very bad mindset... Unafikiri mtoto wa kike huwa anaanza kutamani kuolewa akiwa na umri gani?? 😂 eti tabia ya kutaka ndoa. Umenikumbusha kitabu Three Suitors One Husband, wanaume wameleta posa wamuoe Binti Binti anakataa anasema mimi I'm in love with someone. Aunty anamuuliza "Who allowed you to fall in love?"
 
Ahsante mkuu...! Nimeongea nae saana ila anaonyesha alichokiamua yy ni kuolewa tu....! Na mimi nimeamua kubariki apate haja ya moyo wake, ila changamoto kisheria ikoje kuozesha binti aliyefaulu 4m4
 
Ahsante kwa ushauri.....! Mimi nimeshaamua kumruhusu tu aolewe ila changamoto ndio hiyo sheria inaruhusu...! Na mimi siko tayari kabisa kumlipia chuo akiwa anaolewa
 
Mtoto akililia wembe mpe

Hapo alipo atakua anakujibu jeuri sana ila mbeleni atajuta
 
Mtoto akililia wembe mpe

Hapo alipo atakua anakujibu jeuri sana ila mbeleni atajuta
Wala mimi sitaki aje kujuta na mbariki kiroho safi, maana ni maisha yake aliyoamua kuyachagua
 
Dogo kumbe una miaka 27, hii chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…