Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Vyuo vingi kwa sasa wako likizo sijui wanafungua lini?
 
Maalim sema nn tafta wako na mpost mbona umri huo tayar kufanya nusra kabisa mkuu acha maneno ya watu eti mdogo khaaa anaetoa riziki ni mungu ukimpata sahihi acha zinaa fanya nusra oa tyu chuo ndo nn binafsi nipo chuo nakula MD bt soon nataka kuokoa jiko Allah atuongozee
 
Una jua maana ya kupost kwenye social media?maana yake hayo unayopost si private tena ,sasa unamaanisha nini kupost mpenzi wa watu halafu kushirikisha watu wengine ambao hawana uhusiano nae?wewe ni past yake na kama kweli bado unampenda basi heshimu privacy yake si vyema kuweka picha au vitu vimuhusuvyo bila ridhaa yake na hswa mkowa hamna mashirikiano tena na umekiri mwenyewe hawezi na hutataka awe mpenzi wako tena sasa hizi genye mshindo za nini?
 
Fairy dust ni nn
Ukikua kielimu ndio utajua wenzenu tulianza na hadithi za kina snow white, aesop stories ,beauty and the beast and other fantasy stories as kids nyie mmeanza na kina shigongo misamiati murua ya kizungu mtaijulia wapi?at least kwa sasa musome sio kuangalia movie hadithi za kina harry porter !
Endeleeni kufuga ukilaza!
 
We kajamaa ina maana Ulianza mapenzi na miaka 14.. Manake uliachana na huyo x wako ukiwa na 17 (2014), nimekukadiria kuwa ulidumu naye kwa miaka 3,, kwa maana hiyo ulianza mapenzi ukiwa 14, dah
 
Hahaha! Nimeleta ukatuni humu!!! Potezea mkuu
Kwa copy wanazosoma na movie and katuni wanazoangalia huo msamiati hauwezi mwambie tu huyo Themason wale fairy waki grant wish ya mtu basi ile magic wand inatoa kama vumbi fulani hivi hicho kikitokea ndio mtakutana themason -refer cinderela cartoon(sisi tulianza kusoma vitabu vyake kwanza)
 
Asante kwa kunisaidia mkuu!
 
umemaliziaa vibayaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…