Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Kakaa am Engineering Student hatuna io misamiati...sisi tuna Geoid....Theodolite...Dynamics...Plane Trusses....na kadhalikaa ninaa uhakikaa ivo pia ww hujui
 
Ndo maana alikuacha maana ulikuwa bado teenager hyo 2014
 
kwa umri wako inawezekana unachofanya kikawa sahihi....ila bdae utagundua u were being childish
 
Nilikuwa na miaka hiyo wakat kikwete bado waziri....humu unaweza kuwa unaomba ushauri kwa wanao kumbe.
 
Kakaa am Engineering Student hatuna io misamiati...sisi tuna Geoid....Theodolite...Dynamics...Plane Trusses....na kadhalikaa ninaa uhakikaa ivo pia ww hujui
Hata kidogo!mimi nitakutajia tu tabia zote za wanyama wakiwemo binadamu na matatizo yao ya ufahamu kutokana na sababu au mazingira mbalimbali!
 
learn to forget and move on achana nae unless kama bado unamtaka
 
Yan kama wewe ni 21st alafu unawaza mapenzi kiasi hki pole sana. Alafu umeanza mapenzi bado mdogo sana bila shaka hio ilikua first love na ndo ulitoa ubikira wako.
Nakushauri acha kumpost wala kumuwaza kama unasoma elekezea akili zako kwenye masomo kama unafanya kazi fanya kazi kwa bidii acha kuwaza mambo ya ajabu hali ni ngumu sana kipindi hiki cha mfalme haambiliki
 
Unampost wapi?

 
Mtengenezee nyimbo kama diamond na wema... ataelewa hisia zako!!!
 
huezi kuniajiri wewe acha kujitapavhumu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…