Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

Ushauri: Kaniacha ila upendo bado upo kwake

We kajamaa ina maana Ulianza mapenzi na miaka 14.. Manake uliachana na huyo x wako ukiwa na 17 (2014), nimekukadiria kuwa ulidumu naye kwa miaka 3,, kwa maana hiyo ulianza mapenzi ukiwa 14, dah
daah we jamaa
 
Yan kama wewe ni 21st alafu unawaza mapenzi kiasi hki pole sana. Alafu umeanza mapenzi bado mdogo sana bila shaka hio ilikua first love na ndo ulitoa ubikira wako.
Nakushauri acha kumpost wala kumuwaza kama unasoma elekezea akili zako kwenye masomo kama unafanya kazi fanya kazi kwa bidii acha kuwaza mambo ya ajabu hali ni ngumu sana kipindi hiki cha mfalme haambiliki
Miss huenda iq yako inakarbia ya kwangu
 
Back
Top Bottom