mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
Nadhani zimepakwa lipstick kwenye front bampa na wanja kwenye taa za mbeleZote hizo gari za kike chukuwa voltz au subaru forester au japo alteza
Raum km 16 high way,TUULIZE KUHUSU ULAJI WA MAFUTA NA UIMARA WA GARI HIZO
Sijaelewa mkuuRaum km 16 high way,
[emoji3][emoji3][emoji3]hatarudia kashifa.Nadhani zimepakwa lipstick kwenye front bampa na wanja kwenye taa za mbele
Anazingua[emoji3][emoji3][emoji3]hatarudia kashifa.
Utafikiri ana kiwanda cha kutengeneza magari ya kiume.Anazingua
Jini kivipi?....ndoto yangu hiiiBrevis ni jini boss asikudanganye mtu
Vp bei?Nimetumia raum kwa miaka mi4 iko very comfortable. Sema itabidi utoe tair ya 14 uweke tairi ya 15 au uinyanyue juu kidogo. after that ni kupeta tu.
nilikuwa nikiweka mafuta ya 30 namaliza week nzima. au nikienda arusha moshi ilikuwa inamaliza 20 tu