Ushauri Kati ya Toyota Raum na Toyota Ipsum nichukue ipi?

Hahaha kanunue hii au jipigepige nikupe hii
 
Gari zote hizo ni sawa ni nzuri lakini zinawahi kupoteza sura haraka sana ndo ikitokea ukapigwa ajali pasi yaani hutotamani hata kuiona.
Subaru forester cc1990 -2000 ni ngumu na vumilivu.
 
Nimetumia raum kwa miaka mi4 iko very comfortable. Sema itabidi utoe tair ya 14 uweke tairi ya 15 au uinyanyue juu kidogo. after that ni kupeta tu.

nilikuwa nikiweka mafuta ya 30 namaliza week nzima. au nikienda arusha moshi ilikuwa inamaliza 20 tu
 
Vp bei?
 
Back
Top Bottom