Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Toa ushauri mzeeKua kwanza mwanaume, unasave vipi jina kimahaba hivyo? Ndio maana wanakupanda kichwani
Umeniwahi😂😂Kua kwanza mwanaume, unasave vipi jina kimahaba hivyo? Ndio maana wanakupanda kichwani
Toa ushauri mambo ya jina achana nayoKua kwanza mwanaume, unasave vipi jina kimahaba hivyo? Ndio maana wanakupanda kichwani
ShukranUsisubiri kuombwa Pesa, Wadada wana matumizi Mengi ikiwamo kusuka, kutengeneza kucha, kununua nguo, Mafuta mazuri. Wewe mpe hela unazoweza kumpa mara kwa mara.
Huu muandiko ni wa kikeUsisubiri kuombwa Pesa, Wadada wana matumizi Mengi ikiwamo kusuka, kutengeneza kucha, kununua nguo, Mafuta mazuri. Wewe mpe hela unazoweza kumpa mara kwa mara.
Kula kulingana na urefu wa kamba yako....Upendo WA kwl hauangalii Pesa au vitu vya kupita ,hatuwezi kukupangia umpe kiasi Gani ila kuwa muwazi tu Sina hela ukijiskia mara moja moja bila kulazimishwa unatoa maana ww unajitafuta bado hujafikia level za kina harmonizeWakuu habari za jumapili,
Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo.
nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni bahili sana au vp??? Coz mara zote huwa simpi mwanamke wangu hela bila kuniomba so. Naomba mnisaidie wanaume wenzangu nyinyi mnawezaje au mmewawekea wanawake zenu utaratibu gani kuhusu financial. Namaanisha kama ni wiki au mwezi huwa mnawapa bei gani???
Ili namimi nijue na kulingana na kipato changu kinafika kwenye 500k kwa mwezi.
so ushauri uendane na kipato changu coz nimechoka kila siku kuambiwa maswala ya kujiongeza.
Shukran bro kwa ushauri mzuriKula kulingana na urefu wa kamba yako....Upendo WA kwl hauangalii Pesa au vitu vya kupita ,hatuwezi kukupangia umpe kiasi Gani ila kuwa muwazi tu Sina hela ukijiskia mara moja moja bila kulazimishwa unatoa maana ww unajitafuta bado hujafikia level za kina harmonize