Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Wakuu habari za jumapili,
Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo.
nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni bahili sana au vp??? Coz mara zote huwa simpi mwanamke wangu hela bila kuniomba so. Naomba mnisaidie wanaume wenzangu nyinyi mnawezaje au mmewawekea wanawake zenu utaratibu gani kuhusu financial. Namaanisha kama ni wiki au mwezi huwa mnawapa bei gani???
Ili namimi nijue na kulingana na kipato changu kinafika kwenye 500k kwa mwezi.
so ushauri uendane na kipato changu coz nimechoka kila siku kuambiwa maswala ya kujiongeza.