Ushauri kidogo

Ushauri kidogo

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wakuu habari za jumapili,
Nilikuwa ninaomba ushauri kidogo.
nyinyi mahusiano yenu mnayaendeshaje sababu mimi kila mwanamke ninaedate nae huwa lazima aniambie mambo ya kujiongeza sijui mimi ni bahili sana au vp??? Coz mara zote huwa simpi mwanamke wangu hela bila kuniomba so. Naomba mnisaidie wanaume wenzangu nyinyi mnawezaje au mmewawekea wanawake zenu utaratibu gani kuhusu financial. Namaanisha kama ni wiki au mwezi huwa mnawapa bei gani???
Ili namimi nijue na kulingana na kipato changu kinafika kwenye 500k kwa mwezi.
so ushauri uendane na kipato changu coz nimechoka kila siku kuambiwa maswala ya kujiongeza.
 
Kula kulingana na urefu wa kamba yako....Upendo WA kwl hauangalii Pesa au vitu vya kupita ,hatuwezi kukupangia umpe kiasi Gani ila kuwa muwazi tu Sina hela ukijiskia mara moja moja bila kulazimishwa unatoa maana ww unajitafuta bado hujafikia level za kina harmonize
 
Back
Top Bottom