MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?
Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!
Nipo njia panda.