Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!

Inaonekana una harakati kama mnyama huyu...

licensed-image
 
Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakataa, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?

Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!

Nipo njia panda.
Una kipato cha uhakika?
Halafu, kwa nini wanasema wewe hatari?!
 
Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?

Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!

Nipo njia panda.

Nyoa midevu iyo nae..... unatisha watoto wakike!!!! Izo harakati za akina osama waachie wenyewe
 
Hivi bado watu wanaamini huuu utopolo 😂😂
Yes sir, Imeandikwa King Solomon alioa wanawake 700 na masulia 300 na wote akawatia mimba kiasi Cha kutokujua idadi ya watoto alionao, kwa hio kuna wanawake 7 wanakulia Mingo muda ukifika watakufuata wenyewe wajielezee
 
We ushawahi fuatwa mkuuu 🤔
 
Embu tupeamo visa kidogo kama 2 tu vinatosha mkuu
Kuna mmoja yupo single young lady hajavuka hata 25 ni mdogo kwangu mimi ni mkubwa sana kwake Ila alinasa, akajieleza wee nikampa za uso

Mwingine pia the same 25+ alikua amenidondokea na maelezo ya hapa na pale nikamtolea nje, akala za uso
Wote walikua wanataka niwapige kwenye (....) Ushaelewa

Hao tu km sample, wanakuja 7 muda ukifika utawaona mwenyewe ISAYA ni nabii mkubwa sio nabii mdogo
 
Duuh sawasawa mkuuu shukran 😁🚶
 
Back
Top Bottom