Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Njaa mbaya sana😂Njaa bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njaa mbaya sana😂Njaa bana
acha kuwa serious sana mzee kama umeamua kuwa serious kuwa kama umeamua kuwa skirt chaser kuwa hivo ni kheri ya moto au barid kuliko vuguvugu hakika utapata wa kariba yakoShort and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakata, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?
Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!
Nipo njia panda.