MWALIMU DAIMA
Senior Member
- Mar 4, 2023
- 129
- 263
Ikiambatana na CvEmbu tupia kapicha kusindikiza uzi
Kasome Isaya 4:1nilipimuuliza kwann akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati....
Uume au uanamume?kudhihirisha uume wake kwa vitendo
Mwanaharakati na hela wapi na wapi? Huyu sio mfanyabiasharaWe tafuta hela alafu ule ushibe mda mwingine ni njaa tu inakusumbua. Jipende kabla hujahitaji kupendwa.
Mwanaharakati hatakiwi kumiliki mihela?Mwanaharakati na hela wapi na wapi? Huyu sio mfanyabiashara
Mwanaharakati hawazi hela anawaza harakatiMwanaharakati hatakiwi kumiliki mihela?
Hata uwe na sura ya Jambazi au Kaka Jambazi lakini ukiwa na hela wanawake watakwita Handsome boy. Weka kapicha tujuwe kama kweli una sura ngumu au soft 🤣aniona mm kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi,
Hizo harakati lazima zipay mkuuMwanaharakati hawazi hela anawaza harakati
Wanaharakati hawaangalii pesaHizo harakati lazima zipay mkuu
Mtunuku miaka 2 gjydghg tu imekaa bila bilaEeeeh.....
Hahahahahah.......naumwa mkuuMtunuku miaka 2 gjydghg tu imekaa bila bila
Unaumwaje tena ? Yaan miaka 2 unaumwa ?Hahahahahah.......naumwa mkuu
Una pesa?Short and clear, najihisi na shida wakuu. Kila binti ninaemu-approach anakataa, anasema aniona mimi kama kaka pia kama mtu hatari sasa sijui shida ni ipi?
Pia nakumbuka kipindi nipo advance ( form six), mmoja wa mwalimu alinambia mimi kumpata mpenzi nikifika chuo itakuwa ni kazi, nilipimuuliza kwanini akasema wanawake hawapendi wanaume wanaharakati!
Nipo njia panda.
Ndio. Naumwa miaka miwili...hata nyege sina.Unaumwaje tena ? Yaan miaka 2 unaumwa ?