Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

Una kipato cha uhakika?
Halafu, kwa nini wanasema wewe hatari?!
 
Nyoa midevu iyo nae..... unatisha watoto wakike!!!! Izo harakati za akina osama waachie wenyewe
 
Hivi bado watu wanaamini huuu utopolo πŸ˜‚πŸ˜‚
Yes sir, Imeandikwa King Solomon alioa wanawake 700 na masulia 300 na wote akawatia mimba kiasi Cha kutokujua idadi ya watoto alionao, kwa hio kuna wanawake 7 wanakulia Mingo muda ukifika watakufuata wenyewe wajielezee
 
We ushawahi fuatwa mkuuu πŸ€”
 
Embu tupeamo visa kidogo kama 2 tu vinatosha mkuu
Kuna mmoja yupo single young lady hajavuka hata 25 ni mdogo kwangu mimi ni mkubwa sana kwake Ila alinasa, akajieleza wee nikampa za uso

Mwingine pia the same 25+ alikua amenidondokea na maelezo ya hapa na pale nikamtolea nje, akala za uso
Wote walikua wanataka niwapige kwenye (....) Ushaelewa

Hao tu km sample, wanakuja 7 muda ukifika utawaona mwenyewe ISAYA ni nabii mkubwa sio nabii mdogo
 
Duuh sawasawa mkuuu shukran 😁🚢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…