Ushauri: Kila binti ninaemtongoza anakataa, anasema ananiona kama kaka, mtu hatari!

acha kuwa serious sana mzee kama umeamua kuwa serious kuwa kama umeamua kuwa skirt chaser kuwa hivo ni kheri ya moto au barid kuliko vuguvugu hakika utapata wa kariba yako
 
Mimi so mutu wa mademu Ila ninao wanangu hawana maisha Ila kwa sababu wameamua kuwa waumini wa chini hakika wanakwenda chini haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…