Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

Mzalishaji wa kiwandani atachajiwaje kodi ya value ambayo ataongeza muuzaji wa mwisho?

Unaelewa kwamba muuzaji wa nwisho naye anaongeza value?

Hujaelewa wapi huo mfano wa muuzaji wa mwisho kuongeza value ya maji kwa kuyaweka kwenye friji na kuyapoza?
Ngoja nitulie na nitafute namna ya kukufahamisha nini ninacholenga katika mada hii,

Umefafanua vizuri hongera.
 
Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.

Lakini, kusema mtu wa kiwandani alipe VAT yote hata ya muuzaji wa mwisho ni kituko.

Unajuaje bidhaa itamfikia muuzaji wa mwisho?
 
Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.

Lakini, kusema mtu wa kiwandani alipe VAT yote hata ya muuzaji wa mwisho ni kituko.
Mkuu ni kodi gani ambayo anailipa mlaji wa mwisho?

Kwa mfano inayowekwa kwenye bia soda na bidhaa zinazoingia bandarini?

Nadhani ndio hiyo anayoimaanisha
 
VAT imemlenga mtumiaji wa mwisho. We sema Serikali ihakikishe bidhaa zinazozalishwa viwandani na imports zitozwe VAT na zitolewe risiti na asiuziwe mtu mzigo bila kuonyesha min stock ya mzigo uliopita ufanane na VAT anayodai. Hawa wa juu wakinunua kwa risiti hawana option zaidi ya kuuza kwa risiti maana wasipofanya hivyo watakuwa na mzigo wasiokuwa nao na kushindwa kufanya manunuzi. Shida hawa wa juu wanauza bila risiti, anayeununua hawezi kubali kuuza kwa risiti.
Hii umekariri, VAT inaweza tozwa sehemu yoyote katika mnyororo wa uzalishaji hata kabla product haijafika kwa mtumiaji wa mwisho. Mfano UK VAT inachajiwa katika hatua zote za uzalishaji, na usambazaji na ni 20%, ukija Ujerumani VAT inaitwa MwSt, na ni 19%. Nigeria wanatoza 7.5% kama VAT.
 
Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.

Lakini, kusema mtu wa kiwandani alipe VAT yote hata ya muuzaji wa mwisho ni kituko.
Si kitu kipya, inafanyika sehemu nyingi, ila manufacturer anaweza reclaim kwa materials alizonunua, wholesaler ata reclaim kwa VAT aliyolipa kwa manufacturer na retailers wanatakiwa ku reclaim kwa VAT waliyolipa kwa wholesaler, ila end users ndio hawawezi reclaim, maana wao hasa ndio wanapaswa kulipa VAT.
 
Mkuu ni kodi gani ambayo anailipa mlaji wa mwisho?

Kwa mfano inayowekwa kwenye bia soda na bidhaa zinazoingia bandarini?

Nadhani ndio hiyo anayoimaanisha
Unamaanisha muuzaji wa mwisho au mlaji wa mwisho?

Katika VAT mlaji wa mwisho actually ndiye analipa VAT yote, wengine wanaisaidia tu serikali kukusanya. VAT inawekwa kwenye bei, mlaji wa mwisho anailipa yote, hao watu wa viwandani na wauzaji wote wanakusanya VAT tu kwa niaba ya serikali.

Muuzaji wa mwisho analipia (anaisaidia serikali kukusanya) sehemu ya VAT ya value aliyo add, hapo juu nimetoa mfano wa muuza maji anavyo lipia value added ya kupoza maji.
 
Si kitu kipya, inafanyika sehemu nyingi, ila manufacturer anaweza reclaim kwa materials alizonunua, wholesaler ata reclaim kwa VAT aliyolipa kwa manufacturer na retailers wanatakiwa ku reclaim kwa VAT waliyolipa kwa wholesaler, ila end users ndio hawawezi reclaim, maana wao hasa ndio wanapaswa kulipa VAT.
Point ya VAT ni kila stage ya process ya value addition anayehusika alipie value added yake.

Sasa kwa nini tunataka kubadilisha hilo na kutaka kiwanda kilipie value added ya stages zote zinazofuatia?

Hususan ikiwa hatuna hata uhakika kuwa hizo stages zitafikiwa?
 
Unamaanisha muuzaji wa mwisho au mlaji wa mwisho?

Katika VAT mlaji wa mwisho actually ndiye analipa VAT yote, wengine wanaisaidia tu serikali kukusanya. VAT inawekwa kwenye bei, mlaji wa mwisho anailipa yote, hao watu wa viwandani na wauzaji wote wanakusanya VAT tu kwa niaba ya serikali.

Muuzaji wa mwisho analipia (anaisaidia serikali kukusanya) sehemu ya VAT ya value aliyo add, hapo juu nimetoa mfano wa muuza maji anavyo lipia value added ya kupoza maji.
Sina hakika kodi ninayo imaanisha mimi inaitwaje ila nitakupa mfano

Pepsi garama zao zote za kutengeneza soda moja ni Sh 250 wanajumlisha na faida yao sh 100 soda inakua 350

Serikali inaweka sh 100 kwenye kila soda, hapo soda hadi inatoka kiwandani inakua inauzwa (garama na faida)350 + 100(kodi) jumla 450

Soda itapita kwa muuzaji wa jumla kisha reja reja

Mushi Wa jumla atainunua soda sh450 ataongeza garama zake na faida sh 100 inakua 550 bei ya kumuuzia wa reja reja

Mangi duka reja reja nayeye akinunua 550 ataongeza 150 garama na faida na bei itakua 700 ambayo atainunua Mayu kukata kiu

Soda ikimaliza mzunguko makusanyo ya kodi yatakua hivi

Pepsi kwanza ataipa serikali ile 100 iliyowekwa kwenye kila soda
Halafu tena Pepsi italipa 18% ya faida aliyoweka kwenye soda

Mushi muuza jumla TRA atalipia 18% ya faida yake

Na Mangi duka atalipa asilimi 18% ya faida yake

Kwa mlolongo huo kuna kodi imewekwa direct na serikali sh 100 na kuna kodi 18% watalipa wafanyabishara kulingana na faida

Sijui nimeeleweka
 
Nimesema tra waweke mfumo mzuri wa kuwafanya viwanda ndio wawe walipaji wa VAT Kwa kuwa wao ndio wanamiliki chain ya tangu uzalishaji Hadi mtumiaji wa mwisho.

Ni vyema ungeboresha HOJA Badala ya kupinga tu bila fikra.
VAT haikua designed kulipwa na viwanda bali mlaji wa mwisho,hicho unachokisema wewe kikifanyika hakitakua VAT tena.
 
Sina hakika kodi ninayo imaanisha mimi inaitwaje ila nitakupa mfano

Pepsi garama zao zote za kutengeneza soda moja ni Sh 250 wanajumlisha na faida yao sh 100 soda inakua 350

Serikali inaweka sh 100 kwenye kila soda, hapo soda hadi inatoka kiwandani inakua inauzwa (garama na faida)350 + 100(kodi) jumla 450

Soda itapita kwa muuzaji wa jumla kisha reja reja

Mushi Wa jumla atainunua soda sh450 ataongeza garama zake na faida sh 100 inakua 550 bei ya kumuuzia wa reja reja

Mangi duka reja reja nayeye akinunua 550 ataongeza 150 garama na faida na bei itakua 700 ambayo atainunua Mayu kukata kiu

Soda ikimaliza mzunguko makusanyo ya kodi yatakua hivi

Pepsi kwanza ataipa serikali ile 100 iliyowekwa kwenye kila soda
Halafu tena Pepsi italipa 18% ya faida aliyoweka kwenye soda

Mushi muuza jumla TRA atalipia 18% ya faida yake

Na Mangi duka atalipa asilimi 18% ya faida yake

Kwa mlolongo huo kuna kodi imewekwa direct na serikali sh 100 na kuna kodi 18% watalipa wafanyabishara kulingana na faida

Sijui nimeeleweka
Kama huna uhakika kodi unayoongelea wewe inaitwaje, labda hilo ni jambo la kwanza kuhakikisha.

Hapa mada ni VAT. Value Added Tax.

Kodi unayoiongelea wewe ni VAT au tofauti na VAT?

Hili ni swali la msingi kabisa kwa sababu mazungumzo yote mengine yanaweza kutegemea jibu la swali hili.
 
VAT imemlenga mtumiaji wa mwisho. We sema Serikali ihakikishe bidhaa zinazozalishwa viwandani na imports zitozwe VAT na zitolewe risiti na asiuziwe mtu mzigo bila kuonyesha min stock ya mzigo uliopita ufanane na VAT anayodai. Hawa wa juu wakinunua kwa risiti hawana option zaidi ya kuuza kwa risiti maana wasipofanya hivyo watakuwa na mzigo wasiokuwa nao na kushindwa kufanya manunuzi. Shida hawa wa juu wanauza bila risiti, anayeununua hawezi kubali kuuza kwa risiti.
Hata bandari hizo bidhaa hutozwa vat na ukifika dukani wanatoza tena kwa kigezo kuwa aliye agiza atarudishiwa baada ya kumchaji mlaji wa mwisho serikali irudishe fedha sahau kama unawadai rertun wana uplift kodi kisha amendment wanajifanya wamekulipa ile vat
 
Hii umekariri, VAT inaweza tozwa sehemu yoyote katika mnyororo wa uzalishaji hata kabla product haijafika kwa mtumiaji wa mwisho. Mfano UK VAT inachajiwa katika hatua zote za uzalishaji, na usambazaji na ni
Jitahidi kukosoa baada ya kuelewa
 
Hata bandari hizo bidhaa hutozwa vat na ukifika dukani wanatoza tena kwa kigezo kuwa aliye agiza atarudishiwa baada ya kumchaji mlaji wa mwisho serikali irudishe fedha sahau kama unawadai rertun wana uplift kodi kisha amendment wanajifanya wamekulipa ile vat
VAT inatozwa kila thamani inapoongezeka mpaka kwa mtumiaji wa mwisho. Ni mnyororo.
 
Sasa kwa nini tunataka kubadilisha hilo na kutaka kiwanda kilipie value added ya stages zote zinazofuatia?
Hii haiwezekani boss, itakuwa si VAT tena. Kinachotakiwa ni wale wanunuzi wa kubwa wa kwanza wanaotoa bidhaa viwandani kubanwa waingie kwenye mfumo, asiwepo supplier mkubwa ambaye ana mzigo usio na risiti.

Tatizo unakuta kuna limwanasiasa lina mzigo wake linausambaza bila risiti ukishasambaa TRA ndo wanaanza kupambana na hawa wa kati watoe risiti, utatoa risiti na ulinunua bila risiti‽
 
The sad thing huko kwa wenzetu this is just bookkeeping, na uhitaji hata abc za booking kabla ya kupewa kazi it’s considered data entry you don’t need more than a week training.

It’s beyond me watanzania kushindwa kuelewa concept ya VAT hasa wafanyabiashara, wengi wao ambao registered hawatoi VAT ya kununulia katika hesabu zao kabla ya kuweka mpya, udhani kama wana VAT account kwenye hesabu zao.

It’s sad ila sishangai hata huko wizarani Mwigulu anatakiwa kupewa accountant kama mshauri wake wa maswala ya kodi. Juzi anaulizwa kwanini wakulima watakiwa kuwa na efd wakati mapato yao ni seasonal, jibu lake kwa sababu wanauza zaidi ya milllioni 11 kwa mwezi sasa hiyo ni enough kumdai mtu VAT wakati threshold ni tsh 200m ya mauzo kwa na kiwango anapanga yeye Mwigulu (sisemi wakulima wote, kuna mijitu kama Kigwangalla wale sio wakulima wadogo).

Tuna safari ndefu sana, hata mamlaka za kodi wanaweza interpret sheria vibaya wao sio miungu hasa hawa wa Tanzania.
 
Kesho Kuna mgomo,

Tatizo ni hili hili.

Mzigo bandarini au kiwandani iongezeke Kodi ya VAT Ili kuondoa huo usumbufu wa kumtaka mfanyabiashara mchuuzi kulipa Kodi hiyo, ilhali don wa kwanza amegoma Kutoa risiti halali.

Mfumo huo ovu uangaliwe UPYA tupate ufanisi.
 
Ndugu,

Kwa uelewa wako, mtumishi wa Serikali mfano mwalimu, anatoza VAT ya nini?

Ikiwa VAT ni Kodi ya ongezeko la thamani, mwalimu anahusikaje na Hilo ongezeko, nini limeongezeka kwenye huduma yake inayostahili kulipa VAT?

Nionavyo, mwalimu alipwe Kodi ya mapato basi hiyo yatosha.

Type maoni Yako tafadhali 🙏
Mwalimu analipaje VAT? Ina muhusu vipi, we umeona wapi mwalimu anakatwa au anadaiwa VAT. Ndio haya ninayosema shida ni uelewa ukisoma hii mijadala.

Kodi ya mapato ina majina mengi, kwa mwalimu kama ilivyo kwa wafanyakazi wengine wanakatwa PAYE (hiyo ni income tax kwa jina lingine).

Namna pekee mwalimu anaweza lipa VAT na income tax kama mfanyabiashara labda serikali ianze kutoza kodi kwenye tuition wanazotoa. Vinginevyo VAT aina uhusiano wowote na shughuli za walimu na waajiriwa.

VAT ni kodi ya bidhaa na huduma kwenye biashara, aina uhusiano wowote na waajiriwa.
 
Nimeona kipeperushi chenye ho hoja za kugoma,

Point No. 10. Wafanyabiashara wameungana nami kuhusu HOJA ya thread hapo juu kuwa:

VAT IKUSANYE VIWANDANI , BE BANDARINI,AIRPORT DIRECT.

HILI LINAWEZEKANA.
 
Salaam, Shalom,

Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana.

Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa siku, mwezi Hadi mwaka, wanao uwezo Kwa kudai Kodi ya ongezeko la thamani VAT Toka kiwandani direct, kwanini wasuburi maji yaendelee kwenye vioski na deports ambazo nyingi hazina, au haxitoi EFD?

Viwanda vya kuzalisha cement, vinywaji, CHUMA ambavyo Bei zake zinafahamika, nk nk, Serikali Ina uwezo wa kukaa na wazalishaji na kukubaliana nao Ili wao ndio wawe wanalipa vat direct bila kusubiri Hadi muuzaji wa mwisho ndiye abanwe kulipa vat.

Hawa wauzaji wa mwisho, wabanwe kulipa Kodi ya mapato pekee, lakini VAT ikusanywe na kiwanda na kiwanda kiwasilishe VAT hiyo direct Kwa Serikali.

FAIDA YA SERIKALI KIKUSANYA VAT KUTOKA KWA KIWANDA DIRECT NI:

1. KUPUNGUZA UKWEPAJI KODI
Wauza maji na wafanyabiashara wauzao bidhaa za viwandani, wanaotembeza juani, hawana EFD hao ndio wauzaji wakubwa wa wauzaji wa depot's kubwa ambazo hushiriki kuhujumu mapato Kwa kutotoa risiti hivyo kupunguza uwasilishaji wa vat hivyo kupotea Kwa mapato.

2. KUPUNGUZA RUSHWA
Utaratibu huu wa makadirio mawilayani inaongeza tu gharama na kutengeneza mwanya wa RUSHWA Kwa watumishi wa TRA. Kodi ya VAT ikikusanywa direct itamsaidia kuondoa RUSHWA maana itakuwa Rahisi kuwadhibiti viwanda.

3. GHARAMA YA KUKUSANYA KODI ITAPUNGUA
Kukusanya Kodi ya VAT direct Toka Kwa kiwanda automatically kutapunguza Mzigo wa Serikali kuajiri wafanyakazi kufuatilia Kodi, au utapunguza KAZI Kwa watumishi hivyo kujikita na shughuli zingine Kwa ufanisi zaidi.

4. MAPATO YA SERIKALI YATAONGEZEKA
Kuminya mianya ya RUSHWA na upotevu wa mapato, automatically kutaipa Serikali mapato ya kutosha, hivyo kusababisha mapato ya Serikali kuongezeka.

Karibuni Kwa maoni na maboresho ya HOJA hapo juu 🙏

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Hojahie

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿pen

Pengine waliopo juu hufaidika zaidi na hii mifumo mibovu ya kodi. Na ndio mana licha ya kuona shida kwenye mfumo yakodi huoni Mabadiliko yoyote
 
Back
Top Bottom