Ushauri: Kodi ya VAT ikusanywe direct toka viwandani kupunguza upotevu wa mapato

Sana tu, watu hawaelewi hivi vitu.

Zitasaidia kupinga sera za kijinga kutoka serikali kuu.

Na wananchi wataamua kama gavana wa jimbo analeta ujinga, wanamtoa kwenye kura. Gavana anakuwa si mteule wa rais, anakuwa anachaguliwa na wananchi.
Mkuu unakera sana; tunajadili mambo ya maana wewe unaleta MAJIMBO
 
Mara zote GT unatakiwa kufikiri nje ya box.

Tukifanya hivyo, tutaweza kutatua matatizo am Ayo viongozi wetu wameshindwa yatatua.

How VAT works​

VATs are similar to retail sales taxes, except there’s a levy at each step of the production process, rather than one tax at the end.
For example, let’s say a farmer grows $100 of wheat and sells it to a baker. If there’s a 20% VAT on the sale, the baker pays $120, and the farmer remits $20 to the government. When the baker sells $5 loaves of bread, they tack on an extra $1 per loaf for VAT.
As the baker files their tax return, they will remit the $1 VAT payments on bread and claim a $20 credit for the VAT they paid to the farmer. However, there is no credit for the VAT paid by the consumer.
The VAT system creates a “self-reporting mechanism” where each company documents the activity of another, leading to higher levels of compliance, said Wojciech Kopczuk, an economics professor at Columbia University.
 
Pumbafff kbsa.. unaonekana mwanafunzi wa PoliSci na inaonekana bado hujamaliza.unatozaje kodi bidhaa ambayo huna uhakika kitafika kwa 'mlaji'
Ni wazo linalofaa kujadiliwahaswa kwa nchi zetu hizi ambazo almost mambo mengi yameandikwa vizuri lakini yanatelekezwa vibaya,mambo mengi yanafanyika kiujanja janja,kishirikina na kirushwarushwa,tuambie ubaya kulipa at source,tunajua applied rate ni 18%na ni value added tax je?Ni fair rate ibaki constant or adjusted,je wale whole na sub whole or retail sellers watakuwa refunded vipi kwa zile bidhaa ambazo hazikumfikia final consumer?.ni wazo zuri itozwe at source kwa wazalishaji na importers.
 
Kinacho nishangaza, inajulikana kabisa faida ya bidhaa nyingi haizidi 10% lakini VAT ni 18% how sasa hii inakujaje?
 
Kweli ndugu, HOJA nzuri hii.

FAIDA kwenye biashara nyingi hazitakiwi kuzidi 5% sasa Serikali unataka utoze vat 18% kivipi!!

Hili nalo linahitaji mjadala mpana.
 
How VAT works​

VATs are similar to retail sales taxes, except there’s a levy at each step of the production process, rather than one tax at the end.
For example, let’s say a farmer grows $100 of wheat and sells it to a baker. If there’s a 20% VAT on the sale, the baker pays $120, and the farmer remits $20 to the government. When the baker sells $5 loaves of bread, they tack on an extra $1 per loaf for VAT.
As the baker files their tax return, they will remit the $1 VAT payments on bread and claim a $20 credit for the VAT they paid to the farmer. However, there is no credit for the VAT paid by the consumer.
The VAT system creates a “self-reporting mechanism” where each company documents the activity of another, leading to higher levels of compliance, said Wojciech Kopczuk, an economics professor at Columbia University.
Itafsiri Kwa kiswahili,

Halafu tuone uhalisia wa mfumo huo dhaifu na kandamizi katika mazingira yetu.

Tunahitaji mjadala mpana zaidi kuhusu mfumo wa Kodi.

Ubarikiwe 🙏
 
Fafanua hapa. Naona Leo unajadili facts, imeweka siasa pembeni.

Karibu.
VAT ni kodi inayototozwa na wafanyabiashara waliosajiriwa kuikusanya baada ya kufikia kiwango kinachotakiwa katika mzungunguko wap ghafi. Kwa hapa Tanzania kiwango cha mzungunguko ghafi ni 200,000,000/= na kiwango cha kutoza VAT 18%. Kama wote mnauza maji na mnayaweka kwenye jokofu yawe baridi si kigezo cha kutoza VAT. Kwa upande mwingine kama mfanyabiashara hajafika vigezo vya kusajiliwa VAT hatatoza VAT kwa bidhaa ileile anayouza mwenzake aliyesajiriwa. Kwa ujumla VAT ni kikwazo cha ukusanyaji kodi nchi hii
 
Kuna time imeundwa na Mh Rais kutafiti issues za Kodi, labda wataona maoni haya na kuyafanyia KAZI.

Ungefafanua hapo kidogo jinsi Gani VAT ni kikwazo katika kukusanya mapato ya Serikali 🙏
 
sioni watu mle wenye kujua uhalisia wa kinachotokea field; kwangu ni watu wa maarifa ya vitabuni ambayo siyo uhalisia. Tatizo letu ni jinsi ya kusoma na kuchukua taarifa kwenye mazingira halisi na kuzichambua kupata utaratibu sahihi unao sadifu uhalisia
 
Kuna time imeundwa na Mh Rais kutafiti issues za Kodi, labda wataona maoni haya na kuyafanyia KAZI.

Ungefafanua hapo kidogo jinsi Gani VAT ni kikwazo katika kukusanya mapato ya Serikali 🙏
VAT inajenga mazingira ya kuikwepa kwa sababu haikusanywi na kila mtu na wanaoikusanya bidhaa zao zinakuwa ghali kuliko wale wasio kwenye usajiri wa VAT.
 
Back
Top Bottom