Ngoja nitulie na nitafute namna ya kukufahamisha nini ninacholenga katika mada hii,Mzalishaji wa kiwandani atachajiwaje kodi ya value ambayo ataongeza muuzaji wa mwisho?
Unaelewa kwamba muuzaji wa nwisho naye anaongeza value?
Hujaelewa wapi huo mfano wa muuzaji wa mwisho kuongeza value ya maji kwa kuyaweka kwenye friji na kuyapoza?
Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.Ngoja nitulie na nitafute namna ya kukufahamisha nini ninacholenga katika mada hii,
Umefafanua vizuri hongera.
Mkuu ni kodi gani ambayo anailipa mlaji wa mwisho?Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.
Lakini, kusema mtu wa kiwandani alipe VAT yote hata ya muuzaji wa mwisho ni kituko.
Hii umekariri, VAT inaweza tozwa sehemu yoyote katika mnyororo wa uzalishaji hata kabla product haijafika kwa mtumiaji wa mwisho. Mfano UK VAT inachajiwa katika hatua zote za uzalishaji, na usambazaji na ni 20%, ukija Ujerumani VAT inaitwa MwSt, na ni 19%. Nigeria wanatoza 7.5% kama VAT.VAT imemlenga mtumiaji wa mwisho. We sema Serikali ihakikishe bidhaa zinazozalishwa viwandani na imports zitozwe VAT na zitolewe risiti na asiuziwe mtu mzigo bila kuonyesha min stock ya mzigo uliopita ufanane na VAT anayodai. Hawa wa juu wakinunua kwa risiti hawana option zaidi ya kuuza kwa risiti maana wasipofanya hivyo watakuwa na mzigo wasiokuwa nao na kushindwa kufanya manunuzi. Shida hawa wa juu wanauza bila risiti, anayeununua hawezi kubali kuuza kwa risiti.
Si kitu kipya, inafanyika sehemu nyingi, ila manufacturer anaweza reclaim kwa materials alizonunua, wholesaler ata reclaim kwa VAT aliyolipa kwa manufacturer na retailers wanatakiwa ku reclaim kwa VAT waliyolipa kwa wholesaler, ila end users ndio hawawezi reclaim, maana wao hasa ndio wanapaswa kulipa VAT.Unaweza kuwa na hoja ukisema kwamba serikali ifute VAT kwa muuzaji wa mwisho ambaye hana value anayo add, ikiwa utaweza kuonesha muuzaji wa mwisho hana value anayo add.
Lakini, kusema mtu wa kiwandani alipe VAT yote hata ya muuzaji wa mwisho ni kituko.
Unamaanisha muuzaji wa mwisho au mlaji wa mwisho?Mkuu ni kodi gani ambayo anailipa mlaji wa mwisho?
Kwa mfano inayowekwa kwenye bia soda na bidhaa zinazoingia bandarini?
Nadhani ndio hiyo anayoimaanisha
Point ya VAT ni kila stage ya process ya value addition anayehusika alipie value added yake.Si kitu kipya, inafanyika sehemu nyingi, ila manufacturer anaweza reclaim kwa materials alizonunua, wholesaler ata reclaim kwa VAT aliyolipa kwa manufacturer na retailers wanatakiwa ku reclaim kwa VAT waliyolipa kwa wholesaler, ila end users ndio hawawezi reclaim, maana wao hasa ndio wanapaswa kulipa VAT.
Sina hakika kodi ninayo imaanisha mimi inaitwaje ila nitakupa mfanoUnamaanisha muuzaji wa mwisho au mlaji wa mwisho?
Katika VAT mlaji wa mwisho actually ndiye analipa VAT yote, wengine wanaisaidia tu serikali kukusanya. VAT inawekwa kwenye bei, mlaji wa mwisho anailipa yote, hao watu wa viwandani na wauzaji wote wanakusanya VAT tu kwa niaba ya serikali.
Muuzaji wa mwisho analipia (anaisaidia serikali kukusanya) sehemu ya VAT ya value aliyo add, hapo juu nimetoa mfano wa muuza maji anavyo lipia value added ya kupoza maji.
VAT haikua designed kulipwa na viwanda bali mlaji wa mwisho,hicho unachokisema wewe kikifanyika hakitakua VAT tena.Nimesema tra waweke mfumo mzuri wa kuwafanya viwanda ndio wawe walipaji wa VAT Kwa kuwa wao ndio wanamiliki chain ya tangu uzalishaji Hadi mtumiaji wa mwisho.
Ni vyema ungeboresha HOJA Badala ya kupinga tu bila fikra.
Kama huna uhakika kodi unayoongelea wewe inaitwaje, labda hilo ni jambo la kwanza kuhakikisha.Sina hakika kodi ninayo imaanisha mimi inaitwaje ila nitakupa mfano
Pepsi garama zao zote za kutengeneza soda moja ni Sh 250 wanajumlisha na faida yao sh 100 soda inakua 350
Serikali inaweka sh 100 kwenye kila soda, hapo soda hadi inatoka kiwandani inakua inauzwa (garama na faida)350 + 100(kodi) jumla 450
Soda itapita kwa muuzaji wa jumla kisha reja reja
Mushi Wa jumla atainunua soda sh450 ataongeza garama zake na faida sh 100 inakua 550 bei ya kumuuzia wa reja reja
Mangi duka reja reja nayeye akinunua 550 ataongeza 150 garama na faida na bei itakua 700 ambayo atainunua Mayu kukata kiu
Soda ikimaliza mzunguko makusanyo ya kodi yatakua hivi
Pepsi kwanza ataipa serikali ile 100 iliyowekwa kwenye kila soda
Halafu tena Pepsi italipa 18% ya faida aliyoweka kwenye soda
Mushi muuza jumla TRA atalipia 18% ya faida yake
Na Mangi duka atalipa asilimi 18% ya faida yake
Kwa mlolongo huo kuna kodi imewekwa direct na serikali sh 100 na kuna kodi 18% watalipa wafanyabishara kulingana na faida
Sijui nimeeleweka
Hata bandari hizo bidhaa hutozwa vat na ukifika dukani wanatoza tena kwa kigezo kuwa aliye agiza atarudishiwa baada ya kumchaji mlaji wa mwisho serikali irudishe fedha sahau kama unawadai rertun wana uplift kodi kisha amendment wanajifanya wamekulipa ile vatVAT imemlenga mtumiaji wa mwisho. We sema Serikali ihakikishe bidhaa zinazozalishwa viwandani na imports zitozwe VAT na zitolewe risiti na asiuziwe mtu mzigo bila kuonyesha min stock ya mzigo uliopita ufanane na VAT anayodai. Hawa wa juu wakinunua kwa risiti hawana option zaidi ya kuuza kwa risiti maana wasipofanya hivyo watakuwa na mzigo wasiokuwa nao na kushindwa kufanya manunuzi. Shida hawa wa juu wanauza bila risiti, anayeununua hawezi kubali kuuza kwa risiti.
Jitahidi kukosoa baada ya kuelewaHii umekariri, VAT inaweza tozwa sehemu yoyote katika mnyororo wa uzalishaji hata kabla product haijafika kwa mtumiaji wa mwisho. Mfano UK VAT inachajiwa katika hatua zote za uzalishaji, na usambazaji na ni
VAT inatozwa kila thamani inapoongezeka mpaka kwa mtumiaji wa mwisho. Ni mnyororo.Hata bandari hizo bidhaa hutozwa vat na ukifika dukani wanatoza tena kwa kigezo kuwa aliye agiza atarudishiwa baada ya kumchaji mlaji wa mwisho serikali irudishe fedha sahau kama unawadai rertun wana uplift kodi kisha amendment wanajifanya wamekulipa ile vat
Hii haiwezekani boss, itakuwa si VAT tena. Kinachotakiwa ni wale wanunuzi wa kubwa wa kwanza wanaotoa bidhaa viwandani kubanwa waingie kwenye mfumo, asiwepo supplier mkubwa ambaye ana mzigo usio na risiti.Sasa kwa nini tunataka kubadilisha hilo na kutaka kiwanda kilipie value added ya stages zote zinazofuatia?
Mwalimu analipaje VAT? Ina muhusu vipi, we umeona wapi mwalimu anakatwa au anadaiwa VAT. Ndio haya ninayosema shida ni uelewa ukisoma hii mijadala.Ndugu,
Kwa uelewa wako, mtumishi wa Serikali mfano mwalimu, anatoza VAT ya nini?
Ikiwa VAT ni Kodi ya ongezeko la thamani, mwalimu anahusikaje na Hilo ongezeko, nini limeongezeka kwenye huduma yake inayostahili kulipa VAT?
Nionavyo, mwalimu alipwe Kodi ya mapato basi hiyo yatosha.
Type maoni Yako tafadhali 🙏
HojahieSalaam, Shalom,
Wote tunafahamu kuwa uagizaji wa mafuta Kwa Mfano, Huwa mafuta yanapopakuliwa Kutoka kwenye meli, Huwa Lita zinafahamika na Kodi ya Serikali Huwa tayari inajulikana.
Kiwanda Cha kuuza maji Cha Kilimanjaro Kwa Mfano, TRA wakiweka mfumo wa kujua Lita kiasi Gani zinazalishwa Kwa siku, mwezi Hadi mwaka, wanao uwezo Kwa kudai Kodi ya ongezeko la thamani VAT Toka kiwandani direct, kwanini wasuburi maji yaendelee kwenye vioski na deports ambazo nyingi hazina, au haxitoi EFD?
Viwanda vya kuzalisha cement, vinywaji, CHUMA ambavyo Bei zake zinafahamika, nk nk, Serikali Ina uwezo wa kukaa na wazalishaji na kukubaliana nao Ili wao ndio wawe wanalipa vat direct bila kusubiri Hadi muuzaji wa mwisho ndiye abanwe kulipa vat.
Hawa wauzaji wa mwisho, wabanwe kulipa Kodi ya mapato pekee, lakini VAT ikusanywe na kiwanda na kiwanda kiwasilishe VAT hiyo direct Kwa Serikali.
FAIDA YA SERIKALI KIKUSANYA VAT KUTOKA KWA KIWANDA DIRECT NI:
1. KUPUNGUZA UKWEPAJI KODI
Wauza maji na wafanyabiashara wauzao bidhaa za viwandani, wanaotembeza juani, hawana EFD hao ndio wauzaji wakubwa wa wauzaji wa depot's kubwa ambazo hushiriki kuhujumu mapato Kwa kutotoa risiti hivyo kupunguza uwasilishaji wa vat hivyo kupotea Kwa mapato.
2. KUPUNGUZA RUSHWA
Utaratibu huu wa makadirio mawilayani inaongeza tu gharama na kutengeneza mwanya wa RUSHWA Kwa watumishi wa TRA. Kodi ya VAT ikikusanywa direct itamsaidia kuondoa RUSHWA maana itakuwa Rahisi kuwadhibiti viwanda.
3. GHARAMA YA KUKUSANYA KODI ITAPUNGUA
Kukusanya Kodi ya VAT direct Toka Kwa kiwanda automatically kutapunguza Mzigo wa Serikali kuajiri wafanyakazi kufuatilia Kodi, au utapunguza KAZI Kwa watumishi hivyo kujikita na shughuli zingine Kwa ufanisi zaidi.
4. MAPATO YA SERIKALI YATAONGEZEKA
Kuminya mianya ya RUSHWA na upotevu wa mapato, automatically kutaipa Serikali mapato ya kutosha, hivyo kusababisha mapato ya Serikali kuongezeka.
Karibuni Kwa maoni na maboresho ya HOJA hapo juu 🙏
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Salaam, Shalom,

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿pen
Pengine waliopo juu hufaidika zaidi na hii mifumo mibovu ya kodi. Na ndio mana licha ya kuona shida kwenye mfumo yakodi huoni Mabadiliko yoyoteSalaam, Shalom,