D-Smart
Member
- Mar 23, 2023
- 77
- 204
Habari wana JF,
Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi.
Ningependa kujua uzoefu wa wale ambao tayari wameingia katika biashara hii, na kama inalipa. Pia, ningependa kujua:
Nitashukuru kwa majibu yenu, na pia nitashirikisha picha za mifano niliyopata kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili mjue aina ya bidhaa ninayozungumzia.
Asanteni!

- Je, biashara hii inalipa? – Kama umewahi kuagiza nguo za special za kupoint kutoka Alibaba au mitandao mingine, je, ilikuwaje? Je, ulikuwa na faida?
- Changamoto gani umezikutana nazo? – Zipo changamoto zinazoweza kuharibu biashara hii? Kama ni hivyo, ni zipi na jinsi gani umeweza kuzishinda?
- Vigezo vya kuchagua bidhaa bora – Je, ni vigezo gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua nguo za special kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili kuepuka hasara?
- Ushauri kuhusu mifano ya picha – Kama unajua sehemu nzuri ya kupata mifano bora ya nguo za special, tafadhali nipe ushauri au viungo ili niweze kuangalia.