Ushauri kuhusu Biashara ya Kuagiza Nguo za Special za Kupoint Mtandaoni kutoka Alibaba - Je, Inalipa?

Unamkatisha tamaa ili anunue kwako?
Akitaka kuagiza aagize mkuu, mm siuzi hata nguo moja katika hizo. Wanaonijua wanajua biashara yangu ni machimbo tu. Although aagize kwanza alafu arudi kuleta mrejesho. Mjadala huru na kila mtu ana maamuzi, wewe kama unampa moyo D-Smart muahidi utarudisha nusu ya hela yoyote atakayoingia loss ili iwe win-win situation
 
mkuu kwa ujuavyo wewe kama nikitaka ku base na biashara za mtandaoni Ecommerce ni vitu gani nje ya nguo vinaweza kuleta faida labda
 
Habari wana JF,

Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi.
View attachment 3157898

Ningependa kujua uzoefu wa wale ambao tayari wameingia katika biashara hii, na kama inalipa. Pia, ningependa kujua:
View attachment 3157891
  1. Je, biashara hii inalipa? – Kama umewahi kuagiza nguo za special za kupoint kutoka Alibaba au mitandao mingine, je, ilikuwaje? Je, ulikuwa na faida?
  2. Changamoto gani umezikutana nazo? – Zipo changamoto zinazoweza kuharibu biashara hii? Kama ni hivyo, ni zipi na jinsi gani umeweza kuzishinda?
  3. Vigezo vya kuchagua bidhaa bora – Je, ni vigezo gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua nguo za special kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili kuepuka hasara?
  4. Ushauri kuhusu mifano ya picha – Kama unajua sehemu nzuri ya kupata mifano bora ya nguo za special, tafadhali nipe ushauri au viungo ili niweze kuangalia.
View attachment 3157901
View attachment 3157896
Nitashukuru kwa majibu yenu, na pia nitashirikisha picha za mifano niliyopata kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili mjue aina ya bidhaa ninayozungumzia.

Asanteni!
 
At least vyombo kwa quantity ndogo unaweza kuagiza ukapata faida. Nina rafiki angu alikuwa anaagiza mpaka sufuria 5 na anapata faida. Angalia na phone accessories hasa charge na earphones
 
Inategemea na quality ya bidhaa unayonunua unaweza kuta hiyo bei ya Tsh 14000 ndio zile fwamba jaribu kufua
Hapana, mm mpaka nasema hivyo nishafanya research na nisharialize mana kuna kipindi niliagiza pochi nikakutana na kesi hiyo. So yule jamaa aliagiza mzigo wa kutosha mm niliagiza pochi 25 tu. Ndo nikakutana na kimeo hiko! Kumbe bora ningenunua kwake.

So kama kuna watu wanataka tuone itakuaje, D-Smart tukutoe kafara agiza ulete mrejesho. Hizo tisheti ya 800 china ikifika hapa bongo utaiweka chin ya mlango pale tufutie miguu. Mana wengi walizichukua wakazisweka ndani
 
k

kwa maana hio mkuu cha kuzingatia ni bei na rating za muuzaji maana yake ikiwa juu tegemea mzigu mzuri na bei ya chini ni kituko
 
Akitaka kuagiza aagize mkuu, mm siuzi hata nguo moja katika hizo. Wanaonijua wanajua biashara yangu ni machimbo tu. Although aagize kwanza alafu arudi kuleta mrejesho. Mjadala huru na kila mtu ana maamuzi, wewe kama unampa moyo D-Smart muahidi utarudisha nusu ya hela yoyote atakayoingia loss ili iwe win-win situation
Vp mkuu kama unapatikana kariakoo nataka nije apo siku so nyingi unisaidie kujua machimbo ya bizaa nipo arusha
 
Habari wana JF,

Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo nitachagua nguo chache chache kutoka kwa wauzaji tofauti, badala ya kuagiza kwa wingi.
View attachment 3157898

Ningependa kujua uzoefu wa wale ambao tayari wameingia katika biashara hii, na kama inalipa. Pia, ningependa kujua:
View attachment 3157891
  1. Je, biashara hii inalipa? – Kama umewahi kuagiza nguo za special za kupoint kutoka Alibaba au mitandao mingine, je, ilikuwaje? Je, ulikuwa na faida?
  2. Changamoto gani umezikutana nazo? – Zipo changamoto zinazoweza kuharibu biashara hii? Kama ni hivyo, ni zipi na jinsi gani umeweza kuzishinda?
  3. Vigezo vya kuchagua bidhaa bora – Je, ni vigezo gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua nguo za special kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili kuepuka hasara?
  4. Ushauri kuhusu mifano ya picha – Kama unajua sehemu nzuri ya kupata mifano bora ya nguo za special, tafadhali nipe ushauri au viungo ili niweze kuangalia.
View attachment 3157901
View attachment 3157896
Nitashukuru kwa majibu yenu, na pia nitashirikisha picha za mifano niliyopata kutoka kwa wauzaji wa Alibaba ili mjue aina ya bidhaa ninayozungumzia.

Asanteni!
Usione vyaelea vimeundwa niliagiza Shein track suit nilipoipata quality ovyoo sana , so angalai chines wasijekutia cha kike pisi moja za kupoint huko alibaba sijui kama watakuuzia .
 
Agiza kupitia Watanzania mawakala walioko kulekule, hii itakusaidia kupata hata Ushauri wa Nguo zinazouzika ..

Mtafute Kibenje KK
Kelvin haagizi kila kitu... hiyo utaifanya kwa kelvin lazima iwe katika customised . Kuna wengine wanaitwa chapchap
Screenshot_20241122_132302_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom