FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Kwa mimi binafsi nilishindwa kuendesha duka la Wines &Spirits kutokana na kuwa ni mnywaji mno, nikaishia kulifilisi flat kabisa! KWAHIYO SITOONGEA NENO!
Lakini ukiwa na nia ya kufungua duka la aina hiyo kwanza ujiridhishe sana na sehemu husika!
Duka la Wines and Spirits linatakiwe liwe strong sana, lakini liwe na system ya surveilance maana mtu akichukua katoni moja ya eg Barcadi au Amarula, then ana uhakika kula siku kadha.
Ni njema kama litakuwa mjini, au eneo lenye constant patrols za wanausalama, hii ni kutokana na Sales zake kuwa za amounts kubwakubwa, na ni rahisi sana kuingiliwa na wajasiriamali wenye mtaji AMBAO NI NGUVU YAO WENYEWE!
PJ mmh
Kwa hiyo ulikuwa unaingia dukani unafungua Whisky moja unakandamiza ,huku ukiamini utailipia pale ukiwa na hela
ikawa safari moja uanzisha nyingine mpaka duka letu ukalifilisi.
Asante sana kwa mchango wako na ushauri nimepata kitu. Ne je ni kweli mpaka niwe na mtaji kuanzia 100m?

