Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 955
Gross Margin yake kutoka kwenye mauzo ni 40,000. Chukua mauzo ya 40,000 gawanya kwa 1,000,000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mdogo wangu anafanya, yeye yupo Kijitonyama na anafanya jumla. Mtaji wake ulikuwa 13 Million, na anamauzo sasa kwa wastani wa million 1 kwa siku, na faida yake ni 40,000 wastani kwa siku. Ukiangalia kwa karibu utaona faida ni 4% ya mapato baada ya kutoa gharama za uendeshaji, hii (razor skin margin) ni faida ndogo sana na hatari zake ni kwamba ukienda kwenye mtikisiko wowote ule biashara inakufa. Ukiangalia urudishaji wa mtaji utaona kwamba anarudisha 10% kwa mwaka hii inaweza chukua muda mrefu sana yeye kurudisha pesa yake.
Ushauri wangu ni kwamba hii biashara inaitaji uangalizi wa hali ya juu sababu ya mzunguko wake wa fedha ni mwingi lakini faida yake ni ndogo sana. Kama unaweza tazama biashara angalia yoyote yenye 10-15% faida baada ya kuondoa gharama za uendeshaji. Biashara hii nafananisha na upigaji tofali zote hizi maumivu makali.
Hizo ndiyo bei tunazonunulia huku mtaani.
Hebu angalia vizuri hizo bei kwanza then sema mkuu...vile vile kama unaona bei sana na unataka mzigo wa kutosha wewe piga simu utapewa kwa bei nzuri....
kumbe viroba sikuhizi vina bei sana?!!
Kiongozi, sijasema kwa lengo baya bali nimejaribu kukupa changamoto.
Hizo bei ulizoainisha ndiyo bei tunazonunulia asilimia kubwa ya vinywaji ulivyotaja. Na nyingine bei yako ni kubwa hata kuliko bei ya mtaani:
Mf: Konyagi Ml. 750 unauza Tsh. 7500 wakati mtaani inauzwa kwa Tsh. 6000, Baa Tsh. 7000
Labda kama bidhaa zako zina ubora zaidi ya hizi tunazonunua huku kitaa.
Mkuuu kila biashara changamoto lazima iwepo na kueleweshana kama hivi ni muhimu ila nadhani bei zipo sawa kabisaaa ndio maana hapo mwanzo nikasema endapo unachukua mzigo mkubwa mazungumzo yapo...
Hizo ndiyo bei tunazonunulia huku mtaani.
Hizo ndiyo bei tunazonunulia huku mtaani.
Hizo heineken bar yenyewe tunanunua 2500 tena kino hapo hapo, nenda Dar joint pale ndo bei, pitia full shangwe ndo bei hyo
Pia ninawezaje kupata vinywaji vya Jumla kwa mfano take away za cocacola na vingine kama twist,
Maji ya kunywa n.k.
Msaada tutani Tafadhali.