Clinical officerNaweza kusomea kozi gan yenye maslahi mazuri huko chuo.
Wahi chuoHabari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo π π ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n ποΈποΈMambo ya BAM πππ atajua hajui daah advanve bhana ππ
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo π π ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n ποΈ
Nilienda Mungu mkubwa nko huko bado japo natamn ningeendaga diploma tuh huku hmna kitu coz ndefu kama wosia wa baba wa taifa 5 yearsπ πPole sana, vipi ulienda chuo? Au ulirud diploma
Hakuna iyo kozi yenye maslahi mazuri zaidi ya biashara yakoNaweza kusomea kozi gan yenye maslahi mazuri huko chuo.
Matokeo ya form 4 hayana impact yeyote alevo cha msingi ni uwe na walau C tatu olevo, wewe angalia unapenda kozi gani au unataka kuwa nani!Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.