Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clinical officerNaweza kusomea kozi gan yenye maslahi mazuri huko chuo.
Wahi chuoHabari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo 😅😅ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n 🖐️🖐️Mambo ya BAM 😂😂😂 atajua hajui daah advanve bhana 😂😂
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo 😅😅ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n 🖐️
Nilienda Mungu mkubwa nko huko bado japo natamn ningeendaga diploma tuh huku hmna kitu coz ndefu kama wosia wa baba wa taifa 5 years😅😅Pole sana, vipi ulienda chuo? Au ulirud diploma
Hakuna iyo kozi yenye maslahi mazuri zaidi ya biashara yakoNaweza kusomea kozi gan yenye maslahi mazuri huko chuo.
Matokeo ya form 4 hayana impact yeyote alevo cha msingi ni uwe na walau C tatu olevo, wewe angalia unapenda kozi gani au unataka kuwa nani!Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.