Ushauri kuhusu comb ya kusoma form 5

Ushauri kuhusu comb ya kusoma form 5

jack x

Member
Joined
Oct 2, 2022
Posts
36
Reaction score
122
Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
 
Nenda chuo Kama pesa unayo Soma mambo ya Afya maana wagonjwa ni wengi kuliko watabibu.
 
Kama upo vzur enda chuo
Kama unasua sua kapige PGM/EGM chagua shule nzur na iwe boys tupu pata one
 
Palina
Uscheke we mama 😅😅kama hajai pata sifuri bas asshangae hilo somo lnaeza prove u have nothing on urbrain enewei inategemeana
 
Mambo ya BAM 😂😂😂 atajua hajui daah advanve bhana 😂😂
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo 😅😅ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n 🖐️🖐️
 
Nimepiga pure mathematics woii ilfika stage nkasema its over wacha niliwe na hili somo 😅😅ticha mbovu mm mbovu tukabovuana vbaya sana mwshon nkaona nkaze nashukuru skufer necta ila n 🖐️

Pole sana, vipi ulienda chuo? Au ulirud diploma
 
Pole sana, vipi ulienda chuo? Au ulirud diploma
Nilienda Mungu mkubwa nko huko bado japo natamn ningeendaga diploma tuh huku hmna kitu coz ndefu kama wosia wa baba wa taifa 5 years😅😅
 
Habari zenu wakuu..natumaini mko poa..ninaomba ushauri kuhusu combination ya science kwa matokeo haya necta form 4.
Phy.D, Chem.C, math.C, Bios.C, Geog.C.
Matokeo ya form 4 hayana impact yeyote alevo cha msingi ni uwe na walau C tatu olevo, wewe angalia unapenda kozi gani au unataka kuwa nani!

Mfano una C tatu na una D au F ya Physics alafu unataka kuwa injinia! Then nenda kasome PCM au PGM!

Haya mambo ya kuangalia sijui Masomo uliyo faulu zaidi olevo ndio ukasome kombi yake ni UPUMBAVU!
 
Back
Top Bottom