Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

naomba nikupe Data za Google Toyota Fuel Consumption kati ya Mark II yenye cc1998 na Corolla yenye cc chini ya 1498 huko kwa wenzatu

Toyota
Model Mark II
Generation Mark II (JZX110)
Engine 2.0 i 24V (160 Hp)
Doors 4
Power 160 hp/6200 rpm.
Maximum speed 190 km/h
Fuel tank volume 70 l
Position of engine Front, longitudinal
Engine displacement 1998 cm3
Number of cylinders 6
Fuel consumption (economy) - urban 14 l/100 km.

Fuel consumption (economy) - extra urban 8 l/100 km.

Kerb Weight 1380 kg.
kwa hiyo lita 14 ni kwa kilomita 100
Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (petrol, 2001) 14.0 l/100km / 16.80 mpg

Toyota Mark II (JZX110) 2.0 (160 hp, petrol, 2001) - Fuel consumption - urban

Corolla 1.3 Fuel consumption
ToyotaCorolla

Fuel consumption recorded on the launch:
DURBAN:
Average: 5.31 L/100 18.83 Km/L
CAPE TOWN:
Average: 5.61 L/100 17.83 Km/ L
JOHANNESBURG:
Average: 4.88 L/100 20.49 Km/L
All Groups Average: 5.27 L/100 18.98 Km/L
Ahdante sana mzeee
 
Mark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.

Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.

Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.

Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.

Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.

Asanteni.
Ahsante sana
 
Ndio gari ninayo tumia sasa, Ulaji wa mafuta ni kawaida sana. Ila ni gari moja imetulia sana, Safari ndefu utaenjoy sana, ipo comforable.
 
Ndio gari ninayo tumia sasa, Ulaji wa mafuta ni kawaida sana. Ila ni gari moja imetulia sana, Safari ndefu utaenjoy sana, ipo comforable.
Mkubwa kwa mfano litre moja inaenda km ngapi
 
Mkubwa kwa mfano litre moja inaenda km ngapi
Mkuu kwenye matumizi ya mafuta hawatakuambia ni mfuko wako. wenye madeal huyatumia
ndio maana nikasema ni gari la safari kwa wenye hela, km ni kwa safari za kawaida usihesabu matumizi hayo
 
hebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Km 450 kwa lita 60 hio gari itakuwa na tatizo
 
Hiyo gx uliokua unaendesha wewe labda kama land cruiser gx.... Ila kama unazungumzia 1g-fe hiyo gari nna uhakika ni bovu....

Dar dom kwa engine ya 1g fe nzima kabisa ni lita 30 to 35 max...

Usidanganye watu kaka...

Ukiaverage hapo ni wastan km 13 kwa lita.
Hata mimi nimeshangaa nina engine ya 1g vvti Tanga-Dar lita 30 kwa mendo zaidi ya 120kph
 
Jaman tuache unafiki mm gari hii ninayo..Nilikuwa nayo ya 4cylinder ..Baadae nimeuza nakununua ya 6cylinder..Faida yake.Nigari tulivu sana hasa iwe na engine ya 1g kavu.nilipo kuwa nayo ya 4cylinder.Nikienda iringa kwenda nakurudi from dar... natumia lak3hii ya six nimetumia lak240000tu.Ila kwa mizunguko hapa town kidogo fuel consuption tofauti sio sana.Na sita nunua gari ya four tena.Unajua wengiwetu dar niwatafutaji wageni kwetu mikoani.. tafuta gari six ambayo haija guswaguswa engine uta enjoy
 
Ninayo gx 110, mark II Grande, 6cylinder, 1G engine, namba c, ipo vizuri sana. Inataka 9M
 
Mark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.

Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.

Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.

Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.

Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.

Asanteni.
Mkuu umeongea point hilo gari bonge la gari mi ninayo ninalo musoma nateleza Dar saa 11 asubuhii 11 mwanza sa2 tarime usiku tarime asikudanganye mtu hilo no bonge la gari pata 6 la cc 1990....fullstop
 
Nimeshawishika kuchangia hii mada kwani nami natumia gari hii kwa miaka mitano sasa.
Naona watu wanadanganyana kuhusu consumption ya mafuta naomba niseme. Kwa mimi kwa hapa mjini dar inakula km 7.4 mpaka 8 kwa lita. Kwaxsiku natembea km 100 kutoka home kuja town na kurudi.
Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110

Aina engine za Gx11

2.0 L 1G-FE petrol I6
2.5 L 1JZ-GE petrol I6
2.5 L 1JZ-FSE direct inject petrol I6
2.5 L 1JZ-GTE turbocharged petrol I6
 
hebu mumshauri akanunue magari mengine yanayotumia mafuta vizuri kma Corolla au IST
huko Iringa Morogoro Dodoma kuwa comfortability ni sawa na halihami barabara lakini kwa mafuta ni NO
GX Dodoma Dar km 450 ni lita 60 ulizia inatakiwa mtu mwenye pesa (1L= 8km)
Corolla au IST Dodoma Dar 450km ni lita 28 na yanabaki (1L = 18km)
Nimeasafiri siku si nyingi dom to dar kwa nusu tank broo acha fix
 
Nimeasafiri siku si nyingi dom to dar kwa nusu tank broo acha fix
Acha FIX dogo
weka hesabu zako ndipo ugawe kwa hizo lita
Dodoma Dar ni 450km
mwenzako kasema GX 110 inakula lita moja kwa 10km mpaka 11 km
sasa 450km /10lt utapata lita 45 hapo kuna mahali utapunguza na kupanda milima, kuna barrier na 50 lazima utafika lita 50 na km foleni basi lita 60
post: 28562817 said:
Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110

Aina engine za Gx11
 
Mm mwenyewe natumia iko njema sana
tumemshauri mwenzako asiinunue asilani hizo Toyota GX 100 na naona alituelewa tangu mwaka jana mwanzoni Februari 2017 na zilikuwa zimeshuka bei mpaka milioni 3 (3,000,000/)
Mgari unabwiya mafuta wakati kuna gari zina speed hiyohiyo zinakula lita moja kwa 18km mpaka 24km/l
kwa mwaka huu mpaka 2019 hiyo Gari hutaiuza tena tembelea tu Mkuu na hii mada ilishapitwa
ingia www.zoomtanzania.com uone bei za GX 100
 
post: 19815983 said:
Kuna bwana mmoja ananiambia Kuwa ile gari ni six ila ina 1980cc sasa ndo nataka kujua uhalisia uliopo kwenye ulaji wa mafuta kwa kuzingatia hivo vigezo
huyu jamaa ndiye aliyeomba ushauri anunue hili gari sasa mnachotakiwa ni uuweka ukweli km upo sio kutupinga sisi Member bila vigezo ili alinunue
kitu ina SIX Cylinder ina 1990cc utamshaurije anunue km ni tajiri anunue lkn ni tangu 2017 imeshakuwa gari iliyopitwa na wakati
1538155840368.png

2002 Toyota Mark II Grande in Dar Es Salaam
 
Nimeshawishika kuchangia hii mada kwani nami natumia gari hii kwa miaka mitano sasa.
Naona watu wanadanganyana kuhusu consumption ya mafuta naomba niseme. Kwa mimi kwa hapa mjini dar inakula km 7.4 mpaka 8 kwa lita. Kwaxsiku natembea km 100 kutoka home kuja town na kurudi.
Nikisafiri ni km10 mpaka 11 kwa lita kwa ufupi ni kwamba kwa safari ambazo nilishafanya kwa speed ya 140pkh - 170kph ni km 10 hadi 11 kwa lita yaani tank moja to Arusha na tank mbili to mwanza. Nafikiri siku nikifanikiwa kwenda kwa speed ndogo itakula kidogo zaidi.
Kumbuka ni Gx110

Aina engine za Gx11

2.0 L 1G-FE petrol I6
2.5 L 1JZ-GE petrol I6
2.5 L 1JZ-FSE direct inject petrol I6
2.5 L 1JZ-GTE turbocharged petrol I6
Hapo umeongea kweli tupu. Na hizo zinafanana kwa kila kitu na Verossa. Ila kwa hizo za cc 2500 zipo za Verossa,Grande Mark2 tena ni D4 Engine,ina nguvu moto wa kuotea mbali,na pia zinakaa kwenye Toyota Brevis. Wastani kilometa 9-11 /L on highway na 7-8km/L kwa mjini na foleni. Na ulaji huo ni sawa na Rav4 yoyote uijuayo,Nadia,Noah,Suzuki za cc 2000(Vitara). Kwa kifupi hizo gari ni Sedan,ila nguvu na specs zake ni kama baadhi ya Hardtop. Hata rim zake ni kubwa kama RAV kili time na old model.
 
Back
Top Bottom