Mark II Grande Gx 110 ni bonge la gari asikudanganye mtu.
Comfortability yake ni bab kubwa
Wese inakula fresh tu,
NB: hakikisha switch ya VVT-i inafanya kazi vizuri vinginevyo utaona hii gari haifai.
Utajuaje vvt-i switch ni mbovu? Ni rahisi sana,utaona Taa ya check engine inawaka.
Kwa kifupi hakikisha hakuna warning light yoyote inayowaka hapo kwenye dashboard maana kuna watu wanaacha mitaa ya warning inawaka afu wanakuja humu JF kulalamika au kupotosha watu.
Pia hakikisha Taa O/D Drive haiwaki kwa kubonyeza hako ka button kadogo kwenye gear lever.
Asanteni.