Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
DuhSijajua kwa watumiaji inakuwaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhSijajua kwa watumiaji inakuwaje??
QFL magodoro Dodoma.Inategemea na Dodoma upi
Godoro linalonesa hautalala usingizi mzuri na utazeeka haraka.Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
KWAHYO SASA UMESHAFATA SHAURI ZA WAJA?? UMENUNUA GODORO GANI?Asante kwa ushauri boss,lakini Tanfoam premium na Lolita warranty yake ni ya maisha yote
Nimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. KaribuKWAHYO SASA UMESHAFATA SHAURI ZA WAJA?? UMENUNUA GODORO GANI?
Nimenunua Tanfoam PREMIUM MATTRESS,watu wa Tanfoam wenyewe wamenishauri nichukue hili,wanasema hata hotels kubwa nyingi ndio chaguo lao.Actually ndio nimepanda kitandani kulilalia kwa mara ya kwanza. Karibu
Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.Mwanzoni nlkuwa natumia syperbanco mara nikapata transfer ikabidi vitu niviweke home nianze na maisha mapya
Nikahangaika sans kupata Godoro zuri nikashauriwa sana Tanfiam ila bei iko juu sana mbadala nikapata VITA supreme hawa jamaa wanajua
Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
Vita ni habar nyingine nilinunua 2013 mpaka leo lipo poaVita Supreme ndio the best
Vita lipo poa sanaMimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
iwe ni tanform au aina nyingine,usinunue la spring,nunua 6×6×10Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring. Nimegundua nahitaji kupata uzoefu kwa watumiaji kabla sijajunua. Karibuni kushare experience.
Linaumiza sn kiuno,, nakushauri achana naloMkuu hilo la spring experience yake ipoje ukilalia?
Na pia Godoro linalouzwa bei ya juu ah gharama kubwa ndo linakuwa na ubora Sana.Magodoro yana grade , wadau wengi wanataja majina ya makampuni yanagotengeneza magodoro na si grade !, ubora mnao uona baina ya kampuni moja na nyingine ni kwa sababu baadhi ya makampuni hayatengenezi grade za chini za magodoro na baadhi hayatengenezi grade za juu za magodoro.
Anyway kama unataka godoro la kudumu tafuta grade ya godoro inatwa high density.ni gharama sana ila ilitakaa sana.
Nimeshapata mkuu,nimenunua Tanfoam premium lina Density ya 32. Nadhan ndio godoro lao luxurious.Na pia Godoro linalouzwa bei ya juu ah gharama kubwa ndo linakuwa na ubora Sana.
Mtoa mada aangalie kitu kinaitwa density Iwe angalau kuanzia 26+ kupanda juu .
Bro,kama unataka Godoro zuri kabisa chukua Tanfoam Arusha,wasiliana nao wakupe namba za wakala wao katika mkoa husika ili upate Original. Option inayofuata ambayo najua ni nzuri ni QFL godoro Dodoma. Tanfoam ni mazuri sana na bei yake imechangamka sana. Vita supreme sifahamu kabisa lipoje. Lakini nikupe personal experience,mimi nilienda kununua godoro nikiwa sina elimu ya magodoro,option yangu ilikua QFL la Dodoma,yule muuzaji hakuwa nalo hilo kwahiyo akaanza kunishawishi nichukue ARUSHA DELUXE. Hii heka heka unaniona nayo leo natafuta godoro la Tanfoam ni sababu ya makosa niliyofanya kipindi hiko,miaka mitatu nyuma kununua godoro la hovyo.Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo.
Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa.
Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
Sidhan kama usiku mmoja ni experience ya kutosha kutoa mrejesho lakini Godoro halipo kama nilivyofikiria. Nilivyoambiwa ni luxurious na linatumika kwenye hotels kubwa nikapata picha ya mneso fulani wa kipekee sana. Lakini halipo hivyo,lina ugumu wa kutosha kiasi kwamba sihisi mneso wowote. Mgongo wangu bado unauma sababu ya heka heka za kubonyea kwa godoro la awali lakini hili linakunyoosha vizuri mwili wako. Nina miaka mingi sana sijapaga usingizi wa moja kwa moja kama leo,kwa mara ya kwanza nimeamka saa mbili asubuhi. Hivi ndio nachemsha maji ya moto niende kazini, nimechelewa.Kesho asbh utupe mrejesho
Sidhan kama usiku mmoja ni experience ya kutosha kutoa mrejesho lakini Godoro halipo kama nilivyofikiria. Nilivyoambiwa ni luxurious na linatumika kwenye hotels kubwa nikapata picha ya mneso fulani wa kipekee sana. Lakini halipo hivyo,lina ugumu wa kutosha kiasi kwamba sihisi mneso wowote. Mgongo wangu bado unauma sababu ya heka heka za kubonyea kwa godoro la awali lakini hili linakunyoosha vizuri mwili wako. Nina miaka mingi sana sijapaga usingizi wa moja kwa moja kama leo,kwa mara ya kwanza nimeamka saa mbili asubuhi. Hivi ndio nachemsha maji ya moto niende kazini, nimechelewa.