Ushauri kuhusu used Sports Bike

Ushauri kuhusu used Sports Bike

bhna

Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
33
Reaction score
65
Habali wana jf.Jina(x) mkazi wa unguja town age below 30,Nategemea kununua sport bike (500-600cc) kwa mizunguko ya mjini na mara 3 kwa wiki kusini unguja.Budget kuanzia 8m-10m,ni kampuni ipi itanifaa kwa ubora,spear pamaja namafundi kati ya hizi (honda CBR,suzuki & kawasaki)
IMG_3432.jpg
 
Umewahi kuendesha bike kubwa?

Hizo sport bike kubwa kama hujawahi kuendesha si vyema ukaanza nazo Honda CBR1000,Suzuki Gxr 800/1000 na Kawasaki Ninja. Bike anayeanza anakuwa ni Begginer, ukiweza kuhandle wastani unakuwa Intermediate na wale wazoefu wanaochezea michezo mbalimbali wanakuwa kundi la Pro (Profesional).

Barabara za Zanzibar hazina msongamano ukijiachia sana kwenye bike kubwa kwenye kona kali lazima ikushinde au ikutoe nje ukikata kona ghafla Sport Bike lazima ikulaze nyingi za kisasa zina steering dumper ukiwa speed kona inabidi uguse kidogo si kama bike za kawaida
 
Ok,nenda kwenye mada Sasa.
 
Bike kubwa sijawahi kabisa mkuu
 
Mliopo Zanzibar ati huwa tunaamini ndio mna access na bike kalikali used kwa bei 'kitonga'.

Ila hili suala la bei Kitonga hivi huwa wanachukulia anayeenda Iringa? Au anayekuja Moro?[emoji2955]

Nikweli mkuu kama hiyo honda CBR 600 ni m8 nimeuliza ila bara ni zaidi ya 10m
 
Bike ya kwanza chukua Yamaha R15, au CBR150 izo ni base kabisa.

Ukitaka average power chukua CBR300 au CBR400, au KTM RC390 au Duke 390, Kawasaki Ninja 300 au 400.

Usiende above 400cc.

Pendelea Honda, Kisha Yamaha izo ndio imara zaidi kisha Kawasaki na Mwisho KTM.
 
Nikweli mkuu kama hiyo honda CBR 600 ni m8 nimeuliza ila bara ni zaidi ya 10m
Zanzibar kuna cheap bike. Ila kuna issue nikuambie, ebu fikiria kati ya Sport na Naked. Nachopenda Naked bike ukiangusha haivunjiki fenders.

Sports bike ukiangusha Fenders ni plastic zikipasuka challenge. Unakuta haiuzwi moja inabidi ununue full. Gharama kiasi.
 
Back
Top Bottom